sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
Wakati wa Chadema ya Dr. Slaa kama katibu, alikuwa anatoa matamko ya chama kwakuwa ilidhaniwa ni MSAFI. Baada ya kuondoka kwake ikawa Mbowe au Lowasa ndio hutoa matamko ya chama.
Kimbembe kikaja wakitoa tamko wanajibiwa na Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ambao wapo below 35 na hueleza ufisadi wao. Nadhani kitendo hiki cha kujibiwa na watoto kiliwakera wakaona wamtumie TUNDULISU anayedhaniwa ni MSAFI. Je waungwana huyu jamaa ni MSAFI? Nawasilisha.