hahahaaaNdio utafiti wako huo? Asante Bw. Mtafiti....TZ karibia kila mtu ni mtafiti....Endelea kutuletea taafiti zenye msaada mkubwa kwetu Mkuu.
Hapa JF MMU ndilo jukwaa linaloongoza kwa kuwa na watafiti wengi:...Ndio utafiti wangu huo.
Kuwa na heshima kwa wakuu zako..!hauoni taifa linaangamia kwa na wasomi(wajinga) kama wwe?Fanya tafiti za kusaidia nchi na sio ujinga.Ww inaonekana unaishi kwa dada yakoo
Huo ni ujinga si utafiti. Nadhani unataka uhalalishe tabia yako chafu kwa jna la utafiti. Nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi wadogo zangi wawili wameishi kwangu na wamepata kazi wameishi vyema na shemeji yao hadi home imekuwa ni story. Naona wewe una katabia ka kuchukia ipande wa mume sasa unahalalisha kana kwamba umeokota mume barabarani so unataka awe na uhalali kwenu ila si kwao. Laanatulah!Habarini wana MMU,
Moja kwa moja nianze kumwaga utafiti wangu ambao unamsaada mkubwa katika maiaha yako wewe kaka;
Ndugu wa mwanamke huishi vizuri bila kusumbuliwa katika familia
lakini hali huwa kinyume kwa ndugu wa mwanaume
Hii ni kwa sababu wanawake wote huwa na tabia ya kujali ndugu zao na hawawezi kubadilika sababu nduo asili yao.
Ewe kaka utaoaa mno utafukuza mno wanawake hao ndivyo walivyo,
punguza idadi ya ndugu zako kwako ili udumu na mkeo.
Na wewe ndugu wa mwanaume tafuta kwako.
Unaruhusiwa kuongeza fact zingine kuhusu hawa viumbe.
Ukweli sikuzotee unauma uongo hufurahisha...Huo ni ujinga si utafiti. Nadhani unataka uhalalishe tabia yako chafu kwa jna la utafiti. Nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi wadogo zangi wawili wameishi kwangu na wamepata kazi wameishi vyema na shemeji yao hadi home imekuwa ni story. Naona wewe una katabia ka kuchukia ipande wa mume sasa unahalalisha kana kwamba umeokota mume barabarani so unataka awe na uhalali kwenu ila si kwao. Laanatulah!
Mimi ni mume mkuu. Sijaona ukweli kuhusu utafiti wako though I presume u are a woman!!Ukweli sikuzotee unauma uongo hufurahisha...
We ni mfano mzuri
Umelea wahoo zako mpaka wamepata kazi
Namibia umelea ndg wangap wa mwanaumee? ?
Duh, umetisha sana mkuuNdio utafiti wako huo? Asante Bw. Mtafiti....TZ karibia kila mtu ni mtafiti....Endelea kutuletea taafiti zenye msaada mkubwa kwetu Mkuu.
Hapa JF MMU ndilo jukwaa linaloongoza kwa kuwa na watafiti wengi:...Ndio utafiti wangu huo.