Siri nzito ya Zombe na Bageni

Mkuu wale jamaa walikuwa wana pesa nyingi. Hiyo milioni 5 "iliibwa" kwa wafanyakazi wa BIDCO. Ku justify waliouawa kwamba ndio walivamia wafanyakazi wa BIDCO, kiasi kama hicho ndicho kilifikishwa ofisi za polisi, cha juu kikagawanywa.

Hivi million 5 zinakushawishi kuua watu??? I'm very confused!!
 
Mpwa Pdidy hii kesi inasisimua sana
 
Basokolo bageni
 
Nakusihi ewe rais wetu mtukufu tia mkono wako haraka wa TZ tushuhudie shetani wa kwanza TZ akinyongwa,tuliumia,tuliteseka na kufedheheshwa sana na tukio lile
 
Sikia ndugu yangu ndio maana unaambiwa ulinde uHAI wako kuliko kitu chochote! ukishakufa kila kitu kimekwisha haijalishi aliekusababishia Kifo atafanywaje..ww utakuwa umepoteza so nakushauri ndugu lina UHAI wako kwa Gharama yoyote
 
Unaweza kukata Rufaa huko wanaita TCA lkn kama kwenye Rufaa ameshinda hata akipelekwa uwezekano wakushindwa ni pia Sababu huku Mahakama ya Rufaa KESI inapitiwa yote lkn huko TCA wanapitia uamuzi tu wa Rufaa
 
Nikweli hakuna kesi rahisi kushinda kama ya Mauji ukijua kujieleza sababu Hukumu yake ni kali so ukweli unatafutwa kila kona kujilidhisha...Shida ya kesi za hivi ni muda tu utakaokaa ndani hadi iishe lkn kutiwa hatiani kwenye muono wa Sheria inakuwaga tabu kidogo ingawa kwa macho unaona huyu MTU amehusika
 
Haikuwa sawa kwa watuhumiwa kushitakiwa mara mbili. Imevunja misingi ya common law ya prohibition against double jeorpady.
Sidhani kama wameshitakiwa Mara mbili DPP hakulidhika na Hukumu waliyopata Mara ya kwanza Kwahiyo amekata Rufaa ukikata Rufaa lazima Mwenendo wa Kesi upitiwe upya!
 
hanyongwi mtu hapi huyo alikua kwenye system anajua jins ya kulichezesha kama zombe alivyotoka katika hii kesi kimapichapicha ndio hivyohivyo jamaa atakavyosolve msala example balali issue
Anaweza asinyongwe ila atafia JELA
 
Watoto wa waliouawa hao kina Chigumbi ndio kwanza walikuwa wamewasili Form One 08/01/2006 baada ya siku chache parade tukaambiwa hicho kisa
Walilia sana
 
isije ikawa zuga....maana moja ya watu ambao hawaamin kama Balali alikufa ni mm....sasa asje akasafir kwenda kuish huko vietnam af tunaambiwa kanyongwaa....tuoneshwe LIVE
 
Nakusihi ewe rais wetu mtukufu tia mkono wako haraka wa TZ tushuhudie shetani wa kwanza TZ akinyongwa,tuliumia,tuliteseka na kufedheheshwa sana na tukio lile
[emoji1] [emoji1] [emoji23] shetani wa kwanza ndio nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…