Ndugu usicheze na Kifo cha Kitanzi kila MTU anaefanya tukio la Mauaji pale mwanzo huwa haoni athari yake lkn akishahukumiwa kama namna hiyo kunyongwa Siku zinavyozidi kwenda ndio akili inamkaa sawa....[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]ila ukikutana naye live ni kama kachanganyikiwa fulani hivi
msitu wa pande ni pale ilipo law school kwa sasa ambapo lilikua poli kuanzia stend ile mpya mawasiliano hostel mpya zinazojengwa za udsm kwa kifupi lile lilikua eneo la posta na simu enzi izo mpaka huku mkapa foundationHivi msitu wa Pande ndio Mabwepande ?
Asante mkuumsitu wa pande ni pale ilipo law school kwa sasa ambapo lilikua poli kuanzia stend ile mpya mawasiliano hostel mpya zinazojengwa za udsm kwa kifupi lile lilikua eneo la posta na simu enzi izo mpaka huku mkapa foundation
Hivi,hakuna utaratibu wa rufani hapo,ndiyo tuseme yameisha kabisa?Kama Zombe alihusika, Mungu atamhukumu hapahapa duniani.
Ukifuatilia huu ushahidi vizuri Bageni alihusika moja kwa moja kama mtekelezaji wa mauaji kwa kutoa amri. Yule aliyekuwa anaongea naye kwenye simu katika eneo la tukio bila shaka ni mkubwa wake wa kazi.
Kama Bageni ni Kamanda wa upelelezi Wilaya ya Kinondoni bila shaka mkubwa wake ni Kamanda wa upelelezi Mkoa au Taifa. Nani huyo?.........

besti inahuzunisha sana. Yani binadam kumuua binadam wenzako in a cold blood like this.Hatimae leo Bageni kapata stahiki yake