Siri nzito ya 'muccob's" hii hapa.

nyie bila ya kufanya utafiti mnashabikia tu mkuu watu wamezulumiana mashamba,nyumba,magari na ugomvi binafsi

Hivi unataka ligi tena kwa kukariri maneno ya kiranga?

Kilichokupoozesha kitu gani?

Nianike PM zako zilizokiri udhaifu wako? Nianike Nyumba yenu hapa? Kama ni uongo seneta kapigwa ban ya nini?

Dogo bora upige kimya ufungue ukurasa mpya hii issue tayari ipo juu ya uwezo wako usitake kuyafufua tena....
 
le profesa mpigamsuli utakuwa unashida kchwani mwako..

Halafu utoto kazi sana...

Watu wanatumia psychological analysis Ku connect dots eti Leo anaanzisha story nyingine au kaazimisha password?
 
vyuo vyote tz vinatoa elimu iliyo chini ya kiwango kutokana na financial constraints na lack of expertize.
 
Kumbuka waweza enda chuo na div III yako ukatoka na GPA nzuri zaidi ya aloingia na div I. kama chuo ni kibovu ni kibovu tu hata kama utaingia na div I na kama ni kizuri watatoka wazuri hata kama wameingia na div III.....
 
Kumbe ukweli unauma
sasa unachobisha ni kipi?
Ni mwaka gani Div - 1 au 2 wamepelekwa Chuo cha Ushirika -Moshi?
Tangu miaka ile ya 19' fomu ilijieleza km ukikosa kwenda A' level utapenda kwenda Ushirika Moshi, Maendeleo ya jamii Tengeru, Moshi Tech, Dar Tech nk
Leo unakipandisha wakati waliokianzisha lengo lilikuwa kwa Wakulima na hasa wa kahawa Tanzania,
Ilipoingia awamu ya pili Mwinyi aliwatuma kina Anangisye, Meghj, Tuniga na Mbawala wakifufue na akaona hakuna kitu akaivunja Idara ya Ushirika Tanzania nzima
.
Chuo kikakosa mwelekeo mpaka sasa hakijulikani kipo Kilimo, au biashara au maendeleo ya Jamii maana kinapitwa hata na Chuo cha Mipango -Dodoma kinachoshirikiana na Mzumbe kutoa fani za uongozi kuanzia ngazi ya Kata hadi Taifa.
Ushirika rudini kwenye Kilimo, SACCOS na fani km hizo
PROMO ACHENI
 
hahahah umekosea kabisa kwa mfano mtu amefaulu vizuri anataka asome BACHELOR OF ARTS IN CO-OPERATIVE MANAGEMENT AND ACCOUNTING ataenda wapi?
 
sina uhakika na akili zako , labda hukifahamu unachokiongelllea .
 
Hata Mzumbe ni 50 acha sifa za kijinga wewe chuo chenyewe wanaosoma 70% hawana boom sababu ya div III na IV 20% div II na 10% div I.

mzumbe wameenda wajinga wajinga kwl kutoka shule yetu mpk three z 15 jaman muccobs wazuri me nafkiri kutokana na hoja alizotoa mkuu
 
sijakataa kuhusu ud au chuo kingine .. Ila jaribu kukifananisha na chuo kingine .. Uone .
 
Halafu nyie mnaosema wengi walioko pale walipata div 4 form 6, sidhani kama mnania ya kuchangia mada , nyie ni wanafiki na waongo wakubwa ., hammachangii mada kwa hali halisi bali ushabaki .

1.chuo kile uchaguzi wote wa level ya degree unafanywa na 'tcu' , sasa mniambie tcu hao ndio wanaowapeleka div 4 ushirika ? Acheni ushabaki .

2. Chuo kila kina level zote , yaani kuanzi certificate mpaka master's.. Kinampa fursa yule form 4 asiyekua na marks nzunri kuingia form 5 ... Kujiunga kuanzia level ya chini kabisa ili kumuandalia mazingira mazuri ..
Na nnakuhakikishia ... Ww na degree yako uliyoipata direct from form six to university ... Huwezi wala hutakaa umsogelee mtu alieanzia kuitafuta degree kuanzia level ya certificate .
Div 1 au 2 ya form six huwezi ifananisha na certicate level tena ikiwa ni ya biashara hata kidogo .

So jaribuni kuongea vingine , ila issue ya division pale wanadeal na kila division kutokana na grade na level husika ya kujiunga.
Na wengi wanaoanzia certificate humaliza degree wakiwa na g.p.a nzuri hata kuliko hao mnawaita vichwa direct kutoka form six ..
Form 5 na form 6 kwa sasa hivi nisehemu ya kukua tu ... Lakini wazazi walio wengi kwa sasa mtoto wake hata akifaulu vizuru form 4 , hupelekwa direct kuanza certificate level.
 
Teh hata ualimu ukiwa na div 3 unapata mkopo so acha sifa zako za kijinga utaki acha ila ukweli unaujua Muccobs ni kimbilio la waliochemka na kukosa vyuo walivyovipenda.
I real doubt your education....
 
we mbwiga(qn of sheba) njoo usome hapa!
 
Halafu nyie mnaosema wengi walioko pale walipata div 4 form 6, sidhani kama mnania ya kuchangia mada , nyie ni wanafiki na waongo wakubwa ., hammachangii mada kwa hali halisi bali ushabaki .

1.chuo kile uchaguzi wote wa level ya degree unafanywa na 'tcu' , sasa mniambie tcu hao ndio wanaowapeleka div 4 ushirika ? Acheni ushabaki .

2. Chuo kila kina level zote , yaani kuanzi certificate mpaka master's.. Kinampa fursa yule form 4 asiyekua na marks nzunri kuingia form 5 ... Kujiunga kuanzia level ya chini kabisa ili kumuandalia mazingira mazuri ..
Na nnakuhakikishia ... Ww na degree yako uliyoipata direct from form six to university ... Huwezi wala hutakaa umsogelee mtu alieanzia kuitafuta degree kuanzia level ya certificate .
Div 1 au 2 ya form six huwezi ifananisha na certicate level tena ikiwa ni ya biashara hata kidogo .

So jaribuni kuongea vingine , ila issue ya division pale wanadeal na kila division kutokana na grade na level husika ya kujiunga.
Na wengi wanaoanzia certificate humaliza degree wakiwa na g.p.a nzuri hata kuliko hao mnawaita vichwa direct kutoka form six ..
Form 5 na form 6 kwa sasa hivi nisehemu ya kukua tu ... Lakini wazazi walio wengi kwa sasa mtoto wake hata akifaulu vizuru form 4 , hupelekwa direct kuanza certificate level.
 
Mleta mada ungeandika kwa herufi ndogo ingekuwa bomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…