Siri nzito ya 'muccob's" hii hapa.


Mmmmmmmmmmhhh!!!

Wewe huna unachojua bora unyamaze.
 
I have never seen a mbwiga with no brain and with two degrees kama zako!
FYI nimekula mkopo 100% katika fees na 100% M&A
 
Acha kupiga promo wanaoenda hapo ni wale waliofel yani div 3 na kuendelea.Uliye anzisha huu uzi unataka marumbano ya vyuo wakati hayana tija kwa Tz wakati wasomi wengi na rasilimali zinaibiwa na Wazungu Je kuna haja ya kuwa na wasomi?
cha kwanza ni vizuri sana.wanaofanya kazi vizuri ni vizuri kuwasifia.SASA WEWE UNASOMA HAPO AU?
 
Wewe ushawahi ona wapi Tz hii kuna mtu mwenye div 4 form six aliyechaguliwa kujiunga chuo kikuu kwaajili ya degree program??????

Ukishangaa hilo shangaa na hili, kuna raia hapa Tz wameishia form six na wanataka kuwa maraifi/waziri mkuu.

Jamani mtu akipikwa anaiva, labda awe kichwa nazi, na kila stage inajitegemea maana tunatofautiana IQ.
 
Ligi za vyuo zimeanza haya twende kazi c c darius,danp36,METAL,mpigamsuli,perry,

mkuu umenionea.mimi kwenye rigi za vyuo nilishajitoa mda sana.na sikuwa nasifia chuo fulani au kukiponda chuo fulani.bali nilikuwa flexible
 
Mmmmmmmmmmhhh!!!

Wewe huna unachojua bora unyamaze.

Ukweli utakao kuumiza najua. Ninaongea nikijuacho na hata hapo Muccobs si mgeni nimeshaenda kuwatembelea rafiki zangu wenye div II,III na IV na kulala pale mara kadhaa. Na tule tu hosteli twenu kama Mabweni ya Machame girls, Mawenzi girls na Weruweru girls nazo mnaita hostel teh.
 

Ila kumbuka kuna certificate na ordinary diploma courses.so hizo course unadhani wanasoma waliomaliza la saba ama?
 
I have never seen a mbwiga with no brain and with two degrees kama zako!
FYI nimekula mkopo 100% katika fees na 100% M&A

Teh hata ualimu ukiwa na div 3 unapata mkopo so acha sifa zako za kijinga utaki acha ila ukweli unaujua Muccobs ni kimbilio la waliochemka na kukosa vyuo walivyovipenda.
 
lugha yako mbaya si nzuri.rekebisha mkuuu.angalia maana hujavuka mto
 
karibu sana jamvini mdogo wangu@mpigamsulinaamini wanajukwaa waliku'miss sana. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
Ila naamini ulijifunza kitu.
cc lusungo Excel seneta001 Baba V

Hahahahahahah mkuu Remote hebu mpe break banaa alikuja kwa ID ngeni Leo kaamua autupe ukiwa teh teh teh
 
Last edited by a moderator:

Mimi sipo kutetea hicho chuo cha Muccobs,ila unanishangaza unajinadi unaMasters halafu unaamini kuwa wanafunzi kuwa na mkopo ndio kipimo cha ubora wa chuo,wanafunzi kutokuwa na mkopo inategemea labda hapo muccobs hakuna program zinazopewa kipaumbele kwenye mkopo kama vile education.

Halafu usitake kutuaminisha kuwa kuna watu wana div 4 wanasoma degree huko muccobs hiyo siwezi amini hata siku moja, au unataka kuwa wale wanaosema TEKU wanafundishwa na walimu wenye diploma.

Chuo ni chuo mkuu ndio maana kwenye kuajiliwa kuna interview haijalishi umetoka st John,Mzumbe,IFM,SUA.UDSM,SAUT,MUCCOBS,TEKU,RUKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…