Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
Bora wewe umesema maana wengine tukisema hivyo tunaonekana tuna gubu tena nimegundua vitoto vinavyobisha humu ni vifirst year walosoma hapo nakumaliza wanajijua walikuwa wanaingia na division ngapi.
Hawajui kuwa vyuo vyao ndo vilisababisha kuanzishwa kwa TCU ili iweze hata kuwapangai watu walio na div 2 kiasi maana bila hivyo kuna vyo vingefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hafu utakuta wanamaliza na 1st class karibia darasa zima wakati kuna vyuo vinafundishwa na watu ambao hata degree 1 hawana.
Queen msamehe kijana naona sasa wametambua wapo Chuo cha aina gani wanachokipigia PROMO
Wasije wakakimbia maana kimetambuliwa mwaka jana tu na TCU lakin kwa fani bado ni College isiyo na fani maalum ndio maana wako chini ya SUA
Tumeshawaomba wasome ili waweze kumaliza hapo na kujiunga na University sio mahali ambapo hakuna uhakika wa ajira Serikalini Vyama vya Ushirika vimekufa vyote sasa ni SACCOS zinafuata
Na kazi za Benki Wizara, na Halmashauri ni km ulivyosema UDSM, UDOM, Mzumbe sio chuo cha Muccobs
"Register of Universities" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Retrieved 15 July 2013.
Endelea kujifariji kwani kilivyokuwa rank juu kilikuwa kinajitegemea. Kakojoe ulale uwahi vipindi vyenu vya saa 7:30 asubuhi
Hawajui kuwa vyuo vyao ndo vilisababisha kuanzishwa kwa TCU ili iweze hata kuwapangai watu walio na div 2 kiasi maana bila hivyo kuna vyo vingefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hafu utakuta wanamaliza na 1st class karibia darasa zima wakati kuna vyuo vinafundishwa na watu ambao hata degree 1 hawana.
ndo maana sijataja jina! kumbe we unamjua!Kwa vile alijiuza akanogewa na huduma.. inaelekea bimkubwa alimind sana maana alikosa wateja wengine baada ya hapo but how sure huyo ni babako... unauthibisho? teh teh ukikua utaacha..
Queen msamehe kijana naona sasa wametambua wapo Chuo cha aina gani wanachokipigia PROMO
Wasije wakakimbia maana kimetambuliwa mwaka jana tu na TCU lakin kwa fani bado ni College isiyo na fani maalum ndio maana wako chini ya SUA
Tumeshawaomba wasome ili waweze kumaliza hapo na kujiunga na University sio mahali ambapo hakuna uhakika wa ajira Serikalini Vyama vya Ushirika vimekufa vyote sasa ni SACCOS zinafuata
Na kazi za Benki Wizara, na Halmashauri ni km ulivyosema UDSM, UDOM, Mzumbe sio chuo cha Muccobs
"Register of Universities" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Retrieved 15 July 2013.
halafu nimegundua kitu ...
Ww unaejiita qn of sheba ,ndie unadai ulisoma pale,na wasiwasi sana ulidisco... Na ndio maana umekua mstari wabmbele mno kwenye hoja ..
Halafu ni ww tu na huyo unayemuita wajina...
Tena nyie mnaonekana ni wabishi in nature ... Hata jambo liko wazi mnabisha tu ili kuonekana mpo agaist .. !
Ila ukweli utabaki palepale ... !
Jiulize mbona ishu ya vyuo ikotokea ni ''muccobs" tu inazungumziwa kwann basi huku kutafuta tofauti pasilinganishwe na vyuo vingine ..... Why '' muccobs'' kunaniiii ..
mkuu mpm invisible qn of sheba na malkia wa sheba ni mtu mmoja fanya fasta mkuu
Halafu nimegundua kitu ...
Ww unaejiita qn of sheba ,ndie unadai ulisoma pale,na wasiwasi sana ulidisco... Na ndio maana umekua mstari wabmbele mno kwenye hoja ..
Halafu ni ww tu na huyo unayemuita wajina...
Tena nyie mnaonekana ni wabishi in nature ... Hata jambo liko wazi mnabisha tu ili kuonekana mpo agaist .. !
Ila ukweli utabaki palepale ... !
Jiulize mbona ishu ya vyuo ikotokea ni ''muccobs" tu inazungumziwa kwann basi huku kutafuta tofauti pasilinganishwe na vyuo vingine ..... Why '' muccobs'' kunaniiii ..
ivi ni mtu mmoja ... ? anafanya hivyo ili nini sasa... kua na ID mbili au zaidi , inaonyesha ni jinsi gani unawasiwasi wa kupigwa ban kwa namna ya uchangiaji wako , ila kwa unayejiamini hakuna haja ya ID mbili ..
Teh teh punguza hasira dogo kwani hayo tuliyo yasema ya uongo hata wanachuo wenzenu wamekubali.. teh teh we di ulidai hujasoma hapo umefanya research tu haha njia ya muongo ni fupi..
Alafu usicomment kwa jazba ndugu wapi nilipo andika ni mesoma hapo chuo cha vilaza.. kwanza hata sijui div III, IV na 0 zinakuwaje katika maisha yangu.. mi sio kilaza mwenzio dogo piga msuli iliukomboe wanao na ujifunze kusoma kwabidii usije ukapata GPA ya kukukosesha kusoma Masters..
Halafu nimegundua kitu ...
Ww unaejiita qn of sheba ,ndie unadai ulisoma pale,na wasiwasi sana ulidisco... Na ndio maana umekua mstari wabmbele mno kwenye hoja ..
Halafu ni ww tu na huyo unayemuita wajina...
Tena nyie mnaonekana ni wabishi in nature ... Hata jambo liko wazi mnabisha tu ili kuonekana mpo agaist .. !
Ila ukweli utabaki palepale ... !
Jiulize mbona ishu ya vyuo ikotokea ni ''muccobs" tu inazungumziwa kwann basi huku kutafuta tofauti pasilinganishwe na vyuo vingine ..... Why '' muccobs'' kunaniiii ..
Vumilia tu ndugu sio Muccobs tu Hata Teku, Saut,Ifm na Udom navyo vinapondwa sana humu.. ila pole kwa vile leo ni Muccobs hao wengine waache ila huo mlioambiwa ni ukweli hata wenzenu wamekubali... kama wewe umeingia hapo na II vumilia tu coz wenzako wengi wana 3 hapo.
na ndio kinaongoza kwa ngono na tabia mbovu za kujiuza kwa wengi wa wanawake pale MALINDI,PUB ALBETO NA LALIGA,,hilo nalo usisahau mkuu