Kuna matajiri wengi sana hawapo upande hata mmoja kati ya hizo mbili, na wengi pia wapo kote kote. Kazi na maarifa bado vitabaki kuwa ndio msingi mkuu wa utajiri. Imani itakuja kukutia nguvu na kuongezea tu

Kweli kabisa binamu.... Hayo ndiyo yaliyonifanya niitunze siri hiyo nisiseme!! Nilijiuliza why yeye asimwambie mkewe? Kwa jinsi mambo yalivyokuwa yule mama angeniona nami ni mpenda shirki. ..
Kweli kabisa binamu.... Hayo ndiyo yaliyonifanya niitunze siri hiyo nisiseme!! Nilijiuliza why yeye asimwambie mkewe? Kwa jinsi mambo yalivyokuwa yule mama angeniona nami ni mpenda shirki. ..
ndio hivyo unaweza mweleza kwa Nia nzuri akakufikiria vibaya,na kujiuliza kwanini mume wangu hajaniambia,bora kunyamaza tena nafsi yako imegoma bora kujikalia kimya
kwahiyo unataka kuniambia kuwa mtu kama reginald mengi kwa mfano, ameupatia utajiri wake kwa njia njia ya kichawi, mh i highly doubt it, coz sidhani kama majini wanaweza kukupa utajiri wote ule, hata kama wakikupa.. within 8 years tu or less hayo masharti yake lazma yakushinde, labda uniambie mengi anatumia uchawi kwa ajili ya kinga, sio kwa ajili ya kujipatia pesa Ciprofloxacin.