Rugemalira alishiriki ktk pesa hizo kwa kupewa mgawo wa hisa zake hakuiba hizo pesa. Walio iba ni watu wa serikali na yule mhindi.
pole sana..kiswahili ni chetu ila kinatupiga chenga....neno madhehebu halina umoja chukua kamusi ya TUKI utaona hilo...ni kama neno mafuta utasema umoja wake ni futa?Hii sentensi si kweli:
"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
Kwanini mpotoshe na kusema "madhehebu"?
Cc BAK
Hujui mishahara ya wabunge? Kama siyo ubwege in nini?Tunataka mshahara Wa Mbowe kwanza , mambo mengine baadae.
Hiyo sentensi inasema “…hili liserikali lote limeoza. Kuanzia Ikulu, mfumo wa mahakama hadi viongozi wa madhehebu ya kidini; kote kumejaa rushwa.”Hii sentensi si kweli:
"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
Kwanini mpotoshe na kusema "madhehebu"?
Cc BAK
There is a line you Can't cross..Nilishasema kama magufuli amezaliwa mwanaume,akamate hawa wa escrow. Otherwise anaonea watu.
Mbowe ni mwenyekiti Wa chadema.Hujui mishahara ya wabunge? Kama siyo ubwege in nini?
Dai salary slip ya Magufuli kwa vile aliahidi mwenyewe kuiweka. Akifanya hivyo hata wewe nina hakika utaweka ya kwako sembuse ya Mbowe?Mbowe ni mwenyekiti Wa chadema.
Sasa kama chama kinachotetea uwazi na uwajibikizaji lazima Mbowe awe muwazi kwa kuweka salary slip zake hadharani.
Aanze Mbowe kwanza ,kwa sababu chama chake kinajiandaa kuchukua dola.Dai salary slip ya Magufuli kwa vile aliahidi mwenyewe kuiweka. Akifanya hivyo hata wewe nina hakika utaweka ya kwako sembuse ya Mbowe?
Maskini ya Mungu wee! hata hili la kitaifa unashabikia uchama? Mshahara wa mbowe utarudisha fedha za uma zilizo ibiwa? Mbona una ushabiki usio na tija?Tunataka mshahara Wa Mbowe kwanza , mambo mengine baadae.
Wewe siyo bureAanze Mbowe kwanza ,kwa sababu chama chake kinajiandaa kuchukua dola.
Wananchi tunasubiri mfano Wa uwazi na uwajibikaji kutoka kwa Mbowe
Magufuli anakazi hii nchi karibia kila MTU ni jipu kwa nafasi yake!!Itachukua miaka 50 nchi yetu kuwa waadirifu secta nyingi
ANAKAMUA NYAMA NA SI "MAJIPU" Tibaijuka!/
I will truly trust this man if he would touch ESCROW,LUGUMI.
TUSIWAFUNGE BALI WARUDISHE HIZO FEDHA.
kuzirudisha ni adhabu kubwa kuliko kifungo.