Sir Andy Chande: Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7

Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,kutoka Clouds FM Gerald Hando akitaka kufafanuliwa jambo kwa undani kuhusiana na mambo ya Freemasons na Sir Andy Chande.


Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,kutoka Clouds FM GerAald Hando nyumbani kwake kuhusiana na mambo mbalimbali yahusuyo Freemasons,ambayo hivi karibuni yalizua mtafaruku mkubwa miongoni mwa sehemu ya jamii.
 
Sasa mbona hujatuletea huo ufafanuzi, umeishia kuuza sura ya Hando na Sir. Rudi hapa utuletee huo ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…