Sipimi ng'oo mpaka!

Hata ukipima kama dawa hamna utapona?!

Si bora usijue tu...
 
Mkuu akipimwa mkeo na ujue tayari
 
Kwamba na wew unakuwa ushapimwa si mkioana mnakuwa mwili mmoja japo kila mtu anatembea kivyake
Haaaaaaaaaa "kila mmoja anatembea ki vyake", yaa pia huwa kuna possibility kubwa ya mmoja kuasilika na mwingine kuwa salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…