opencheque
Member
- Aug 10, 2016
- 88
- 39
Mbavu zangu mie._Nipo kwenye daladala siti ya nyuma kabisa nimekaa na mrembo mzurii.sasa nikawa namtongoza kwa sauti ya chini sana watu wengine wasiskie,akawa hanijibu kitu,mala gafra akapayuka kwanguvu na kwa sauti ya juu iliyomshtua kila mtu._
*"Nimesema stakii,stakii tena unikome"*
_Nami nikamjibu kwa sauti ya juu vile vile_
*"Kama umejamba nisikwambie bhanaa,kwani ww nani?"*☹
*_MIMI SIO MTU WA MCHEZO MCHEZO_*
Sipendi kelele kabisaa
Ndio maana nipo
Nyumbani nasikiliza
CD empty
*sio mtu wa mchezo mchezo mimi*
Mliozaliwa mwezi wa tisa tunajua walichokuwa wanafanya wazazi wenu kipindi cha Christmas*
Hatupendi ujinga sisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ety my ex karekodi video wakiwa na new boi frnd wake chumban na kunitumia akjua nitaumia sana
Na mm nikatfta namba ya Baba ake Kisha nikamtumia Baba ake video ile!!!!!???"
Sipendagi ujinga kabisa.:-🙂-🙂-🙂-(
Mods Wapige Baned Hawa viumbe
Sipendagi Ujinga mim
waiter zungusha [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Shuka mkuu maana we sio mtu wa mchezo mchezosasa hivi kwenye daladala nimemgusa mtu mtu alokaa mbele ili apunguze sauti ya muziki wa simu yake; kwa kiherehere chake akanipa elfu kumi bila kunitizama akidhani mimi ni konda.
imebidi nishuke palepale kwa raha zangu.
sipendagi ujinga kabisa mimi
Mbuu gani hao wa malaria au wa zika```Walimu wengine bhana!```
*_Eti ananiuliza swali ili kuona kama najua lugha ya Wazazi wangu_* [emoji15]
```"hivi M'bu mnawaitaje kule kwenu,"```
*_Nikamjibu_* ```{huwa hatuwaiti ila wanakuja wenyewe}```
[emoji3][emoji3] _Nasisitiza sipendagi ujinga mimi._
[emoji23] [emoji23]Ety my ex karekodi video wakiwa na new boi frnd wake chumban na kunitumia akjua nitaumia sana
Na mm nikatfta namba ya Baba ake Kisha nikamtumia Baba ake video ile!!!!!???"
Sipendagi ujinga kabisa.:-🙂-🙂-🙂-(
nani ameasisi huu msemo jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kweli kishujaa*Mi ni Admin wa group letu flan, sasa Leo asubuhi kuna mtu kanitumia text inbox,_*
```"Mambo vipi Admn please add these two numbers 0712 173 610 and 0758 251 890."```
*_Nimemjibu kishujaa:_*
*0712 173610 +*
*0785 251890 = 1,470,425,500.*
Mi Sipendagi ujinga
0404
Tisha sana mkuu,[emoji117]Ujinga wa ndoto ndiyo huu
••Utaota umeokota dolla ukiamka empty...
••Utaota umeokota dhahabu ukiamka kitandani patupu daadeeki OTA Sasa UMEKOJOA.....
NDOTO AZIPENDAGI UJINGA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0404