Sipendi watu wanaopenda kuwasifia kua wenzao wanapesa balaa, wakati wenyewe wamebweteka bila kutafuta pesa, tena utawakuta wanatoa data aisee jamaa ana miradi, sijui ana magari sijui nini etc yaan utafikiri ndo kazi yao kusifia wengine.
Sipendiii wanaume wazima tunawasifia wenzetu? Tutafute pesa nasisi