Sipendi mwanamke anayejua mapenzi sana, kwako iko vipi?

ebbyramadhani

Senior Member
Jan 5, 2017
101
109
Kwa upande wangu sipendi mwanamke anaejua mapenzi sana (fundi) na enjoy sana kuwa na msichana ambae hajui mapenzi.

Yaani yupo kawaida tu hua na enjoy tendo, sipendi yule anaejua mapenzi hadi kero, kuna wasichana wanashuhuli mpaka unaogopa.

Wale siwapendi, niliwahi kua na mdada viuno vya ngomani hadi kwenye game nilipigwa uno mpaka nikapata stress.

Nikawa najiuliza ana nia gani na mimi? Sasa ile siitaki, napenda anaesikilizia na anaetulia kama gogo wenyewe mnavyosema.

Mimi wale ndo nawataka, zisikie sauti tu za chinichini.
 
Kwaupande wangu sipendi mwanamke anaejua mapenz sana (Fundi)
Na enjoy sana kuwa na msichana ambae hajui mapenzi
Yaani yupo kawaida tu hua na enjoy tendo
Sipend yule anaejua mapenz hadi kero
Kuna wasichana wanashuhuli mpaka unaogopa.wale siwapendi
Niliwah kua na mdada viuno vya ngomani hadi kwenye game
Nilipigwa uno mpaka nikapata stress nkawa najiuliza ana nia gani na mimi?
Sasa ile siitaki,napenda anaesikilizia na anaetulia kama gogo wenyewe mnavosema
Me wale ndo nawataka
Zisikie sauti tu za chinichini
nlijua nipo mwenyew mkuu, mimi sipend kabisa na naweza kughair nikiona mtu analeta ujuaji , hv majuzi nlikuwa na bibie mmoja akataka kuleta ufundi ooh nataka kunyonya , nikamwambia vaa nguo nikampa buku akanyonye ice cream
 
Kwaupande wangu sipendi mwanamke anaejua mapenz sana (Fundi)
Na enjoy sana kuwa na msichana ambae hajui mapenzi
Yaani yupo kawaida tu hua na enjoy tendo
Sipend yule anaejua mapenz hadi kero
Kuna wasichana wanashuhuli mpaka unaogopa.wale siwapendi
Niliwah kua na mdada viuno vya ngomani hadi kwenye game
Nilipigwa uno mpaka nikapata stress nkawa najiuliza ana nia gani na mimi?
Sasa ile siitaki,napenda anaesikilizia na anaetulia kama gogo wenyewe mnavosema
Me wale ndo nawataka
Zisikie sauti tu za chinichini
Jiamini jombaa
 
Utakuwa una uwezo mdogo wa kustahimili, hao ndio wazuri kijana.
Aisee! Mahindi yanakomaa kwa wenye mapengo.
 
Back
Top Bottom