Sipendi kwakweli

Siku Ukija kuwa na akili za kiutuzima yan mwanamke ...huo ujnga hapo utaachana nao . Sahv uko katika level ya kupigwa pigwa ...yan yeyote atakayekuja romantic bhac mzigo unamuachia ...
Pisi jacky bhana ...
 
Hayo ni mawazo yako binafsi kabisa. Kwa uzoefu wangu, Majibu ya tongozo huya yanategemea tu anayetongoza ni nani. Unaweza tongoza kizembe kama Mwamba hapo na Papuchi ukaichakata fresh tu. Na unaweza weka mbwembwe zote na ukaambulia patupu.
 
Amenifanya niwaze hivi baba janeth wa chato aliingia kwa swaga gani kwa ma janeth wa chato...

Maisha yanakwenda Kasi sana
 
Umenena ukweli, kwanza ukimuona mwanamke jua kuna mgegedaji hivyo hupaswi kuuliza hayo ila unajaribu kitupa ndoana ili nawe akupange na huyo aliyekutangulia. Ukishapewa K hapo unatafuta mbinu ili ummiliki wewe na kuhakikisha wengine hawaingilii himaya yako. Akiamua kukueleza kuwa ana mtu, usikate tamaa unasubiria wakosane ndipo uingie jumla. Mwanaume wa shoka ni mvumilivu mpaka aipate K ya khumbu wa konda
 
Hujamkubali tu huyo mwanaume,ukimkubali utamtongoza mwenyewe.
Usimpopenda mtu kila kitu anachokifanya huwa kinaonekana hovyo.
 
Amenifanya niwaze hivi baba janeth wa chato aliingia kwa swaga gani kwa ma janeth wa chato...

Maisha yanakwenda Kasi sana
Aisee jifunze kujiheshimu sawa!??? Heshima haina gharama kwamba inunuliwe. Hebu mweke mzazi wako, uone kama inakaa poa. Shame on you.
 

Mkuu we umeshafunga huu uzi saa nyingi, ni watu tu hawajajua.

Ndani ya sekunde 10 za kukutana na mwanamke, kabla hata hujaongea chochote, yeye hua ameshajua unamtaka na ameshaamua kama atakupa au hakupi! Na akishakuweka kwenye kundi la wasiopewa, hata ujieleze vipi kwanza ataona kama unamsumbua tu.
 
Ndio hivyo yani
 
Shemeji...hajambo ndo Nini?
....we Sema kilichokuleta
 
Respect
 
Wanawake wakibongo wee waambie tuu njoo nikutoe lunch tukapate pizza. Huko kwenye piza akishaingia ndani ya ka mark x kako huyo unajilia tuu
 
Uzi umeandikwa kibabe sana. Lakini nimejifunza kitu/vitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…