pisi jacky
Member
- Oct 21, 2020
- 32
- 141
Yaan mkaka anahangaika wee adi anapata namba ako
Chatting zake sasa
Him:hi
Me:hi
Him:uko poa
Me:yea am good
Vip:vipi shemeji ajambo
Me; kimoyo moyo mi nasema ii mburura imetokea wapi actually sijibu
Him:mbona kimya
Me;usingizi tu
Him:mbona hunijibu lakini maana mdada mzuri ivi najua hauwezi single
Mi;kimoyo moyo baba ntolee pepo ili kwenye sim angu
Him;mbona unachelewa kujibu text zangu
Mi:kimya
Actually mwanaume wa ivi hua namterm kama a very weak man. mama ako amekuzaa mzima kabisa, ila unaleta Mambo ya ajabu kwani ukianza kuchat ivi unapungukiwa nini
Him:hi beautiful
Mi;hi how r u
Him:Am ok mrembo sijui wewe
Mi;namshukulu Mungu niko poa
Him:vipi unafanya nin?
Mi: nothing nipo tu home mekaa
Him;can we go for a walk tupitie pale wanachoma mahindi
Mi;aaa mahindi, mi meno yanauma
Him;ndo maana nipo ntakutafunia usipate shida mama
Mi; mhhm ngoja niangalie nkipata muda ntakwambia
Him;nakusubili mama sa kumi na moja ntakupitia
Mi; Bwana mesema ntaangalia
Him:see you later beautiful
Mi;ok
kuna mwanaume mpaka unajiuliza how on earth am I suppose to tell him am not single.na ukiwa unalibwana zero romantic, unaliunga mazima afu badae unasema n ibilisi tu alinpitia I hope na we utamoove on.
Wacheni izo maswal mnaonekana so weak mwanaume unaogopaje kukataliwa Bwana we liunge ukikataliwa mbona fresh tu pisi kibao mjini apa
Uzi umeisha