Sipendi kabisa kuhonga mwanamke, hivi ntapata wazuri nikiendeleza hii sera?

Unajipa moyo mkuu!Sista duu huwezi mpanda kwa maneno matupu na kumbuka kupewa mapenzi eti ni handsome mwisho ni form Six

Anaweza kumpa once or twice then atajua tu hapa choo cha kiume. Lazima aone anatumika bila maslahi.

MAYBE AWE ANAKULA WAKISHUA CAUSE WALE UTAMPA SH. NGAPI, BABA ZAO WANAZO, SO WAO WANAHITAJI FURAHA SEMA WENGI SURA ZA BABA ZAO. HAHAHAAA!

Alafu usituite magwangalaaa, watu wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Tutake radhi.
 
Niliwahi kua hvyo, tena sanaa tu.

When i started earning more nd more each day....nikajikuta na offer outings kwa madem, lunch or dinner buffets and the like, movies, sijui trips to mbudya, ramada, bagamoyo et al.

Heee ghafla tu nikajikuta hata standards za madem nao wa piga nao inaongezeka (tena hawa watoto wa vyuoni hawa, acha tu). Ww uko hvyo cz u dont have a stable income stream/source ( Najua moyoni una agree)

Mimi mpaka kuna wakati nikawa najishangaa sana like " Damn i f*cked that chick " kitu ambacho zamani hizo ilikua kama ndoto. Si kwamba nlikua nahonga mahela mengi...Nop basi tu ni ile uwe una afford good tymz ndogo ndogo...kutumia kama 60K to 150 K on a weekend isiwe issue kwako kihiiivyo. (Usitongoze makopo ya mtaani, hawafai na wana njaa sana wale)

Ww give it time, utakuja niambia na wengine watakubaliana na mm humu. Jiongeze kijana huwez ukaenda mkojolea tu mtoto hata drink or lunch hujamnunulia man.
 
It z gud that you changed yur scropt ume stress kitu kizuri, ulikutana na watu wapya so ukabadilisha scrpt thts good

.
Yes Lara i'd like to know yo scprt
May be i could ammend some of the lines in my scrpt too.

1. Find God, live the way God wants me to live and full feel his plan for me. (Hili nishaanza kutekeleza)

2. I wanted to own my own business (i do already sema bado haijafika pale nakotaka kwanye profits) Trust me bila kutimiza hilli the rest na 2 kuendelea hazitimiziki sabau lazima utakuwa na income constraints kama unategemea payroll za watu, pia time constraints hutoweza kufanya what you want when you want.

3. Travel the world. (Hii inawezeshwa na no 1. Cause nasafiri for both business and pleasure. Cost zinakuwa covered na business. Za pleassure nacover mwenyewe na uanamke wangu dont take me out of context hapo kwenye uanamke sijiuzii.) Nishaanza kitambo ila ikuwa kwa stress na shule inasaidia sanaa kutoka toka ukienda vi course vya uongo na kweli kwa watu huko unapata na hela zao ambazo ukinunua hela za madafu Alhamdullilah. kweli sahivi natelezaa nacharge business tu, na ujasiriamali unasaidia unapata mialiko full covered ya semina nchi zingine,tena unapanda business class kwa raha zako. Heheee! Kwa rehema za Mungu tu lakini, halleluyah.

4. Get highest education possible. (Sio ili nipate kazi no ili niendeshe business poa, na kufanya consultancy tayari nina Masters, now natafuta PHD yenye stipends kubwa, so far vyuo vya hongkong ndo best, ufadhili wake mnono sana, kuna mwanangu mmoja anaenda this June, inshaalah next June na mimi nitamfata huko Hongkong. Miaka 7. Na cause nafanya sana business na China haito affect business yangu at all)

5.Afford anything i ever wish for. Niwe financially independent sio kumtegemea mtu yoyote.

6. Have the best relationships possible by being true to my heart and feelings. Nikijisikia kuwa na mtu niwe kidogo na mazingira elekezi ya kufanikisha hilo. Mtu akizingua nimtimueee bila kujali nini wala nini sijui nitaishije huo sasa utumwa huru. Nikiwa na mtu iwe sababu nimejisikia mda huo na nimeridhia sio imenibidiii. Na kabla sijaokoka lengo lilikuwa nile vichwa vyotee vya maana vitakavo jipendekeza lakini sahivi I found God, huo ni ubatili mtupu. Hahaaaa. Kwangu ndoa itokeee na iwe ina support ALL OF THE ABOVE. Na kuzaa hivo hivo nitazaa endapo ALL OF THE ABOVE havitakuwa jeporadized. Sahivi i am dating THE CHRISTIAN WAY which jeoporadise all of the above. Si unajua kwa Mungu we all are equal, na ALL OF THE ABOVE IS NOT FOR ALL just the blassed. God is good all the time anitie nguvu.

7.
 
Niliwahi kua hvyo, tena sanaa tu.

When i started earning more nd more each day....nikajikuta na offer outings kwa madem, lunch or dinner buffets and the like, movies, sijui trips to mbudya, ramada, bagamoyo et al.

Heee ghafla tu nikajikuta hata standards za madem nao wa piga nao inaongezeka (tena hawa watoto wa vyuoni hawa, acha tu). Ww uko hvyo cz u dont have a stable income stream/source ( Najua moyoni una agree)

Mimi mpaka kuna wakati nikawa najishangaa sana like " Damn i f*cked that chick " kitu ambacho zamani hizo ilikua kama ndoto. Si kwamba nlikua nahonga mahela mengi...Nop basi tu ni ile uwe una afford good tymz ndogo ndogo...kutumia kama 60K to 150 K on a weekend isiwe issue kwako kihiiivyo. (Usitongoze makopo ya mtaani, hawafai na wana njaa sana wale)

Ww give it time, utakuja niambia na wengine watakubaliana na mm humu.

Hahahaaa! Well said, naunga mguu hoja.

Ila it is wrong kutuita sisi wanawake wa mtaani MAKOPO YA MTAANI just because hatujaenda hivo vyuo, na wazazi wetu hawana hela it doesnt mean we are any less women kuliko hao wa kishua. Wote tunakojoa tumechuchumaa.Na wote ni wanawake. Maisha tu
 
Hahaha no offence (Aargh kuna wanawake wengine wanaboa sana bana)

Alaf Nitakutafuta.
 
1. Find God, live the way God wants me to live and full feel his plan for me. (Hili nishaanza kutekeleza)

2. I wanted to own my own business (i do already sema bado haijafika pale nakotaka kwanye profits) Trust me bila kutimiza hilli the rest na 2 kuendelea hazitimiziki sabau lazima utakuwa na income constraints kama unategemea payroll za watu, pia time constraints hutoweza kufanya what you want when you want.

3. Travel the world. (Hii inawezeshwa na no 1. Cause nasafiri for both business and pleasure. Cost zinakuwa covered na business. Za pleassure nacover mwenyewe na uanamke wangu dont take me out of context hapo kwenye uanamke sijiuzii.) Nishaanza kitambo ila ikuwa kwa stress na shule inasaidia sanaa kutoka toka ukienda vi course vya uongo na kweli kwa watu huko unapata na hela zao ambazo ukinunua hela za madafu Alhamdullilah. kweli sahivi natelezaa nacharge business tu, na ujasiriamali unasaidia unapata mialiko full covered ya semina nchi zingine,tena unapanda business class kwa raha zako. Heheee! Kwa rehema za Mungu tu lakini, halleluyah.

4. Get highest education possible. (Sio ili nipate kazi no ili niendeshe business poa, na kufanya consultancy tayari nina Masters, now natafuta PHD yenye stipends kubwa, so far vyuo vya hongkong ndo best, ufadhili wake mnono sana, kuna mwanangu mmoja anaenda this June, inshaalah next June na mimi nitamfata huko Hongkong. Miaka 7. Na cause nafanya sana business na China haito affect business yangu at all)

5.Afford anything i ever wish for. Niwe financially independent sio kumtegemea mtu yoyote.

6. Have the best relationships possible by being true to my heart and feelings. Nikijisikia kuwa na mtu niwe kidogo na mazingira elekezi ya kufanikisha hilo. Mtu akizingua nimtimueee bila kujali nini wala nini sijui nitaishije huo sasa utumwa huru. Nikiwa na mtu iwe sababu nimejisikia mda huo na nimeridhia sio imenibidiii. Na kabla sijaokoka lengo lilikuwa nile vichwa vyotee vya maana vitakavo jipendekeza lakini sahivi I found God, huo ni ubatili mtupu. Hahaaaa. Kwangu ndoa itokeee na iwe ina support ALL OF THE ABOVE. Na kuzaa hivo hivo nitazaa endapo ALL OF THE ABOVE havitakuwa jeporadized. Sahivi i am dating THE CHRISTIAN WAY which jeoporadise all of the above. Si unajua kwa Mungu we all are equal, na ALL OF THE ABOVE IS NOT FOR ALL just the blassed. God is good all the time anitie nguvu.

7.
Thank you Lara
May God help you to fulfill ol of ya wishez

Kuna vitu nimejifunza nta ammend kiaina script yangu.
 
Mizoga, makapi, makopo ya chooni... poleni sana dada zangu. Kuwa mtu wa hali ya chini kunafanya udharauliwe sana.
 
Siyo kwamba huongi, bado huna hela za kuhonga. Sasa unataka hela unazopewa na wazazi ndo uhonge? Listen brother, swala siyo kuhonga. Swala ni kumsaidia mpenzi wako kama uwezo unao.

Think of this, kuna msichana unampenda, naye amekupenda. You feel happy kuwa naye and enjoy life. Mli mu enjoy vizuri yeye naye anatakiwa asiwe na shida ndogondogo. Sasa utaacha kumsaidia, aendelee kuwa na shida, then how are u going to enjoy, kila saa mdada ana mawazo hana hata raha, hapati mzuka wa malavidavi.

So huna hela, au hujapata anaye ukonga moyo wako au vyote kwa pamoja.

Mara nyingi watu wanaanza kuhonga at 35 years. Maana katika umri huo mambo yanakuwa yameanza kuwa kwenye mstari kidogo, na income inakuwa nzuri.
 
Yeye afanye kama nlivyomwambia....hela za bata ndogo ndogo for the two of u awe nazo, na asitoe kwa mawazo. Dem kama yuko mbali na hana usafiri ww mwambie

"mama panda bajaji njoo sehem flan nitalipia " kwani tsh ngapi ?? Si kama 10K to 15K (na inaweza isifike).....vocha mpe hata 10K a week (ni campaign tu hyo kwa mtoto unayetaka mfumua marinda). Unamletea vi crips sijui chocolate za dairy milk. Unamnunulia chicken burger basi hapo ni ataona unamjali balaaa

Buku 10 hizi nimeshatuma sana kwa watoto wa chuo za vocha sijui lunch hata wa makazini wengine....unakuta dem mkali yuko 3rd year au kazini sehem flan ya ukweli tu....yani napiga utasema nimeoa. Wengine uki break up nao ni wanalia na maneno kibao ya kutia huruma. (Hela noma ww , sio like unahonga mamillioni. Na wengi hawapendi kuhongwa mambo makubwa sana)

Tafta shughuli ya kufanya ikuingizie hata Tsh 100K to 200K a day. Kama huna jipange, otherwise utapitwa sana.
 
Kiukwel mimi simuombi sana Mwanaume pesa unless nna shida ambayo ipo nje ya uwezo wangu tena nitaomba kuongezewa lkn Mwanaume unatakiwa kujiongeza kwa vitu vidgo vidgo mfno vijizawadi vya hapa na pale outing angalau weekend n.k sio we kumtumia tu mtt wa watu na kumchafua tu bila hata kumjali. Me nakuacha kwa mwezi tu.
 
Umeolewa?
 
Sawaa nataka kuendelea na hii sera ila sasa naona kama inanikosesha totoz .,. Si unajua hawa mabinti wanapenda kutumbua tu, kuna wengine sijawazungumzia hapa wao kila siku wananiita nikawape bia na ni leo tu nimechomoa pia issue kubwa ni kwamba sipend kutumbua hela
Mi nafikili unaelewa maisha ni kuchagua na kuchagua ni kupanga vile ambavyo unaona kuna Faida or wherever you do xo, unapofanya biashara usifikilie 2 faida,fikilia na hasara xo kwa incase yako wala usilalamike we kuwa normal 2 umepata!' Haukupata we kuwa kawaida Ilo ndo lifestyle ulilolichagua bro!!!!?
 
Kwa kweli nimesoma comment zote na itabidi nitafakari sana kuhusu ku revoke huu msimamo wa sasahivi.. No way, itabidi nijifunze kufungua pochi sasa.. ... Huu ndo umuhimu wa JF kweli...
 
Back
Top Bottom