Kristonsia Nkya JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 309 Reaction score 304 Aug 8, 2017 #1 Sipendagi elimu mimi..! _*Ivi aliyeanzisha Elimu alifikiria nini jamani*_ _*Maana nakumbuka Yesu alikuwa na wanafunzi wake lakini sikuona ata sehemu moja anawambia Kesho TEST
Sipendagi elimu mimi..! _*Ivi aliyeanzisha Elimu alifikiria nini jamani*_ _*Maana nakumbuka Yesu alikuwa na wanafunzi wake lakini sikuona ata sehemu moja anawambia Kesho TEST
S song 16 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 553 Reaction score 757 Aug 8, 2017 #2 Nalo neno lakini Sent using Jamii Forums mobile app
M mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,560 Reaction score 6,445 Aug 8, 2017 #3 [emoji3][emoji3][emoji3]ukiona hivyo ujue hata elimu pia haikupendi brain is the beautiful part of the body.
[emoji3][emoji3][emoji3]ukiona hivyo ujue hata elimu pia haikupendi brain is the beautiful part of the body.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,635 Reaction score 89,398 Aug 8, 2017 #4 ha ha ha! sio kwamba hupendi elimu,hupend test
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,714 Aug 8, 2017 #5 Elimu ilikuwepo tangu enzi muda unavyokwenda uwezo wa watu unazidi kuwa mdogo wakaona sasa tufundishe maana vilaza walikuwa wengi mno..! Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ilikuwepo tangu enzi muda unavyokwenda uwezo wa watu unazidi kuwa mdogo wakaona sasa tufundishe maana vilaza walikuwa wengi mno..! Sent using Jamii Forums mobile app
samua JF-Expert Member Joined Jul 18, 2016 Posts 1,029 Reaction score 709 Aug 10, 2017 #6 Hahaha Hahaha
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,869 Reaction score 11,486 Aug 10, 2017 #7 Matatizo ya kutumia kichwa kwajiri ya kufugia nywele
LWENYI JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,839 Reaction score 2,175 Aug 10, 2017 #8 Tatizo lako ni hiyo NKYA Huwezi kutumikia mabwana wawili pesa na elimu.
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,664 Aug 10, 2017 #9 Km hauwez kusoma hakikisha ni faita sio darasan uwe zero na mtaan zero utakuwa ni mzigo mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Km hauwez kusoma hakikisha ni faita sio darasan uwe zero na mtaan zero utakuwa ni mzigo mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?