Ha ha ha.. JF ninavyoipenda nitakunywa sumu juu yake.. Hivi wewe Kongosho ulijua kuna mluga atakuja na maneno kama haya ukatayarisha kabisa hili jibu/swali lako..? Maana limeniacha hoi.. Ni zaidi ya jibu lol..
Acha uongo wewe.virus na mafuta ya taa wapi na wapi? Badala ya kumshauri mwenzenu amtafute Mungu ampumzishe na hizo tamaa za mwili we unampoteza zaidi.
mie nakushauri usitumie kabisa na ukimwi siku hizi siyo hatari kama ambavyo ungepata ugonjwa wa kansa ya koo au utumbo...haya ndiyo magonjwa watu wanaogopa sana zaidi ya ukimwi
Usiombe katika maisha yako ukapata ugonjwa wa kansa au sukari utajuta...na utalia sana hasa kansa na maumivu yake wacha ndugu usipime
Siku hizi ukimwi siyo tishio madawa yapo unatumia unaishi miaka hata 30 na siku unataka kufa sasa dawa zimeshindwa kufanya kazi unaweza ukafa ukiwa uko choo unajikamua au hata kuanguka ghafla na kupoteza maisha...kwa hyo ushauri wangu wewe kula hyo kitu bila condom ....ha ha ha