Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Dec 14, 2013 #1 Hebu fikiria kama watu wafanyapo mapenzi kila bao lingekuwa na mlio kama wa risasi paaaa! Je usiku tungelala kweli?
Hebu fikiria kama watu wafanyapo mapenzi kila bao lingekuwa na mlio kama wa risasi paaaa! Je usiku tungelala kweli?
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,417 Reaction score 27,883 Dec 14, 2013 #2 hii comedy mkuu!! Peleka kwenye Jukwaa husika utakuwa umewatendea haki wahusika!!!
byb sac JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 910 Reaction score 386 Dec 14, 2013 #3 kuna bastora nyengine zinauwezo wa kuzuia sauti.xo naisi watuwangekuwa wanaset tu inalia kimyakimya..ila na wasiwasi na ya kwako ingekuwa gobole...
kuna bastora nyengine zinauwezo wa kuzuia sauti.xo naisi watuwangekuwa wanaset tu inalia kimyakimya..ila na wasiwasi na ya kwako ingekuwa gobole...
chopeko JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 1,527 Reaction score 1,113 Dec 14, 2013 #4 Madagadamdashi said: Hebu fikiria kama watu wafanyapo mapenzi kila bao lingekuwa na mlio kama wa risasi paaaa! Je usiku tungelala kweli?[/QUOTE Mi sioni picha Click to expand...
Madagadamdashi said: Hebu fikiria kama watu wafanyapo mapenzi kila bao lingekuwa na mlio kama wa risasi paaaa! Je usiku tungelala kweli?[/QUOTE Mi sioni picha Click to expand...
G ggerald Member Joined Mar 21, 2013 Posts 17 Reaction score 1 Dec 14, 2013 #5 Watu wangejenga vyumba vyenye sound proof
byb sac JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 910 Reaction score 386 Dec 14, 2013 #6 sipatii picha kwenye gest ingekuwa je...kama mizinga ya jeshi...
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,442 Reaction score 17,886 Dec 14, 2013 #7 sipati picha kama jf ingekuwa face to face conversation..! members wengi wangelikuwa na manundu kibao nyusoni mwao!
sipati picha kama jf ingekuwa face to face conversation..! members wengi wangelikuwa na manundu kibao nyusoni mwao!