sipati Ajira??

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,579
Reaction score
1,821
Sio kila kitu Englishi, hv nikiwa najua lugha za makabila zaidi ya 20 ya Tz, sipati ajira yenye heshima hapa hapa Tanzania??
 
Chedi urewedi, ausindile, nyenye chaomi, ja kuyumuka, namilimo, wapanga du, sobai, kamwene n.k
 
utapata ajira makumbusho pale.... Fasta
 
Sio kila kitu Englishi, hv nikiwa najua lugha za makabila zaidi ya 20 ya Tz, sipati ajira yenye heshima hapa hapa Tanzania??
Hahahaa, tatizo ni kwamba hapa bongo interview zinafanywa kwa kienglish ila maofisini watu wanapiga kimatumbi kama kawa. Kwa hiyo English ni ya kuingilia tu, mbony shafo clemee.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Munoge nyela, twambombo, kusina utine, imbungo
 
Yani wewe ndo utakuwa hata kuisikia ajira hutoisikia
 
Wewe unadhani utapata ajira gani kwa kujua lugha za makabila yote hayo? Labda kama ungekuwa unajua lugha 20 duniani hapo ungeweza kupata kazi kirahisi kabisa tena kwa kugombaniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…