Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
tena huwaga wanabeba na mirungi..huwaga mnakula jani ili mlanduke na kupunguza stress za mwendo kasi
Panda coaster zile za maiti
ukome kupenda lift za dezo, one day uta RIP

Ukipenda vya fasta ujiandalie na sanda kabisa
Mkuu mbona kawaida, kuna siku Mimi nilitoka chugga saa mbili asubuhi.... Nilipepea Sana siku Hiyo, by saa nane Na dk 20 hivi mchana nikaingia home, Ila nilipitia Msata bagamoyo.
Mkuu wewe ni mzoefu, hakika watu walikuwa wanachanja tuu gomba. Halafu hata njiani trafiki hawazisimamishi hizi gari.