Sioni umuhimu wa kupanga bajeti

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
624
2,775
Mambo yamekuwa si ya kutabirika, yaani unapanga budget lakini mambo yanatokea tofauti kabisa, sasa naona nikipokea hela nifanye kitakachokuja kichwani baada ya hapo basi niendelee na utaratibu mwingine.
 
Lakini maisha ninprinciple mkuu,pale unapoona hakuna umuhim wa kupanga budget ndipo matatizo yanapoanzia.Mipango ni muhim sana ila utkelezaji wake ndoo mgum kwa kuwa hakuna nidhamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yakupasa kuwa na Discipline na hali ya juu kwenye matumizi yako kama huwezi kuzingatia budget yako vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…