Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,761
- 15,575
Me namsaidia kujibu, wasio mvutia ni wale washamba kabisa, sasa yeye born town nin, anataka wa born town mwenzie yeyote.Hili nalo swali ,unakuta huyo mtu anayelalama hapa ni kituko cha karne ila yeye anataka kudate jidada high expensive
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ndo hiyo nyodo zimezidi kisa, vinafatwa sawa basi vinaona vimepatia maisha.
