Sioni mwanamke wa kuoa

Sioni mwanamke wa kuoa

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,424
Ingawa siko vizuri kiuchumi, ila nadhani hata nikipata tsh billion 100 sahiv, bado sitaona mke wa kuoa, hizi ndo changamoto ninazokutana Nazo

1) Namtongoza mdada, baada ya cku mbili nagundua huyu mdada yuko kimaslahi (anaomba sana hela), na hanipendi

2) Nikiangalia kule, mdada anafaa kuoa, ila hanivutii kabisaaa

3) Nikiangalia huku mdada ananivutia ila hana time na mm, anakupa namba ila ghetto haji, na SMS anajibu Kwa mapozi..

Sitafuti mdada perfect kwasabab hata mm siko perfect ila duuh, wanaume tuna kazi, kupata mchumba sahihi wa kuoa siku hizi ni vigumu sana.
 
Mbona ni rahisi tuu mkuu,maneno yako ya kwanza wakati wa mahusiano ndio yatakayoamua kama upo serious kwenye swala la kuoa

na swala la mume na mke haliangalii Uchumi wala nini (UPENDO)..cha muhimu ni kuutafuta ubavu wako Mungu aliyekupa then anzeni mapambano..Wazazi wangu wanavyotusimulia walianzia chini kabisa hawana direction ila kwa sasa hiv mambo fresh kwa kiasi

Alafu kwa nini unamuita Geto??? Au unapima kama maporomoko ya uzalishaji ya umeme yapo vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ambae anakuvutia, anapendezeshwa na mwanaume wenzio ndo maana anakuvutia.

Huyoo ambae hakuvutii embu mhudumie kwanza ujue maana ya gharama za mwanamke Ndo urudi hapa kulia lia.

Kuna wanawake hata ukiwavisha nguo na make up za mamilioni ya shillingi, bado watafanana na sokwe luckyline
 
Kuna wanawake hata ukiwavisha nguo na make up za mamilioni ya shillingi, bado watafanana na sokwe luckyline
Kwani Siku zote tunakutana na wanaofanana na sokwe?

Labda kwanza tafuta vijisent kdg na wewe uvutie maana hatuwezi jua sisi ni wasoma comments tu
 
Kwani Siku zote tunakutana na wanaofanana na sokwe?

Labda kwanza tafuta vijisent kdg na wewe uvutie maana hatuwezi jua sisi ni wasoma comments tu

Kama mdada alikuwa ananiona nyani, hata nikiwa tajiri ataniona nyani, sana sana huyo mdada ataigiza kunipenda ili ale hela zangu..kuna vitu ambavyo pesa haiwez nunua luckyline
 
Back
Top Bottom