Sioni kosa lake huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sioni kosa lake huyu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAKA A TAIFA, Nov 24, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hata hivyo mchukueni mkamsulubu kama nyie mwaona mtakuwa mmetimiza yanayopasa.mie sio mwanachama wa chama chochote na sidhani kama naweza kula rushwa kutoka kwa yeyote. Ila kama baba wa taifa angekuwepo angestaajabu kwa maneno yangu haya.

  Nimewatizama viongozi waliopo sasa hapo kwenye ccm, nathubutu kusema ukiacha mmoja tu ambaye kwa sasa sitomtaja, aliyebaki ni edward peke yake.

  Mwamwiita fisadi lakini bado naamini ufisadi wowote mkubwa hushirikisha wengi.na hivyo bado nadhani kumtosa kwa ajili ya kashfa moja sio sahihi Hakuna aliye safi japo pia kuna wengi walio wachafu sana. Sitaki nimsifie changia hoja. Sina ubia naye wala hanifahamu kabisa .
   
 2. mkada

  mkada JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  ,,,,asiye na dhambi na awe wa kwanza kulisha jiwe kwa mwanamke huu mzinzi!,,,watu wakalala mbele.siwaamini chadema,ccm,cuf,wala yeyote yule,,,,,wacha nibaki na yesu wangu!
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Yesu Yupi?
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Sikiliza rafiki
  Usiijaribu na usirudie tena kujaribu kutulazimisha watanzania kukubaliana na
  mchakato wa Lowasa Kujisafisha eti kwa ujinga kwamba waliochafuka ndani
  ya ccm ni wengi.

  Kwa viwango vyetu, Lowasa ni mchafu sana, hatuhitaji kulinganisha uchafu
  wake na mtu yeyote, ameishachafuka ameishachafuka period.

  Na huu mchezo mnaoendeleza kuukuza wa kumsafisha kupitia Makanisani
  na kutumia vijimistari kutoka kwenye Biblia ndio mnazidi kumchafua yeye
  binafsi na Chama Chenu Pia.

  Watu tunajiuliza kwa nini Lowasa anapeleka siasa makanisani na hakuna
  mtu hata mmoja kutoka CCM wala CUF anamnyooshea kidole??
   
 5. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  ni mpiganaji hata kama ni fisadi, wote wamechafuka wa tz walimkubali m'kwere wakidhani ni mr clean kumbe ni bogus, I wish lowassa win in his war, what a wish!
   
 6. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Terrible analysis!
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,372
  Likes Received: 22,234
  Trophy Points: 280
  Kwa kifupi CCM is not needed any more
   
 8. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Horrible conclusions. I keep wondering how such as this thread survive the mods' axe, really!
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hatumtaki.......................FULL STOP.
   
Loading...