Kansigo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 2,670
- 2,156
Kufuatia Maneno ya Ulimwengu UDSM kumlaumu JK kwa kutopatikana kwa katiba mpya, NIMEKUWA NIKIJIULIZA MASUALI YAFUATAO
Je ni kweli mchakato wa kupata katiba mpya ameufuta JK au bado upo? jibu mchakato bado upo naye alisema anamuachia Raisi atakayekuja amalizie kiporo kidogo kilichobaki kutokana na ukweli kwamba daftar la wapiga kura lilichelewa kukamilika. Tukumbuke mwaka 2015 ulikuwa ni mwaka busy sana wa kisiasa so daftari lilipochelewa kukamilika haikuwa busara kuwasumbua tena wanachi kuipigia kura ya ndio au hapana. Sasa kosa la JK hapo ni lipi?
NB
JK hakuwa na mamlaka ya kuongoza nini kinatokea katika bunge la katiba,na kabla hajalianzisha bunge alitoa tahadhari kuwa iwapo hawatakubaliana katiba ya zamani itaendelea.
Ukawa waliweka mpira kwapani kabla bunge halijapiga kura,lakini akidi ilitimia na kura zilipigwa na sasa umebaki mchakato wa kura za maoni ya wananchi
Ulimwengu hana hoja zaidi ya kutafuta cheap popularity kutoka kwa vi..laza , bila hata kujua kushatakiwa Kikwete ni jambo ambalo kamwe kamwe kamwe halitokuja kutokea.
Nimshauri Jenerali amuulize Raisi wa sasa kuwa kile kiporo kimeishia wapi? na sio JK tena