Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,115
- 126,086
Sasa hv nmeokoka mkuu 😎Naamini aliyekomenti hili si mmiliki simu hii
Sasa hv nmeokoka mkuu 😎Naamini aliyekomenti hili si mmiliki simu hii
Mkuu umekutana na shombeshombe la kiarabuu eeeDamn wazee nipo Dom Kondoa Kuna visu hakuna mfano. Nimeamu nifanye yafuatayo
1. Siondoki tena Kondoa.
2. Nimempigia baba mkwe kule Bariadi na
nimemwambia wale Ng'ombe kumi 14 waliowataka Ili waniozeshe binti yao wasahau.
3. Mchepuko wangu wa kinyiramba pale singida siutaki Tena japo roho inaniuma sana kuuacha.
4. Nimemsamehe yule Binti wa kichaga rasmi aliyeniacha kwenda kuolewa na mwenye nazo miaka sita iliyopita.
NB: Namlaumu sana baba mkwe wa Bariadi.
Hakika nimeonaSasa hv nmeokoka mkuu 😎