Siondoki barabarani hadi kieleweke

Siondoki barabarani hadi kieleweke

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
11063544_565280926947393_8004576383169467304_n.jpg
Nyumba hii iko Jimbo la Henan huko china eneo la Luoyang . Mwenye nyumba amegoma kuondoka kwa sababu hajaridhika na malipo ya fidia aliyolipwa
 
Kwa sheria za kupenda hukumu ya kunyonga huko China, sijui Kama atasalimika kwa mgomo huo aiseeee....
 
Kibongo bongo wala isingefikia hatua ile ingekuwa ishabomolewa ktambo tu
 
Kwetu Sisi Ardhi Ni Mali Ya Sirikali.Huwezi Kumgomea Mwenye Mali Yake.
 
Back
Top Bottom