Je unaqualification za kuitwa??? umesoma kozi gani? sawa utumishi kuna mchezo mchafu lakini huwa wanajitahidi kuwa fair katika kuita watu ingawa wanakuwa wameshapanga watu wao wachache.Kwanzia nianze kuomba hizi kazi zaidi ya mwaka sjawai itwa kwenye interview,.
Nimetuma maombi karibia mara 40 na vigezo vyote wanavyotangaza ninavyo.
Hata watu nao wafahamu ambao walishawai itwa interview hawajawai pata kazi hata mmoja.
Hi inaonyesha kuna mchezo mchafu utumishi wanaoufanya.
USHAURI
vijana tusiona kazi turudi kijiji tukalime tuachane na hawa utumishi wanatuchezea akili,.
Je unaqualification za kuitwa??? umesoma kozi gani? sawa utumishi kuna mchezo mchafu lakini huwa wanajitahidi kuwa fair katika kuita watu ingawa wanakuwa wameshapanga watu wao wachache.
Wadau mimi ngoja nimeamua kuwakatia kiu hawa psrs kesho nawaibukia lazima niwape majibu nitakayopewa nakama kesho hawatanipa majibu basi jumatatu ninao ili niweze kupata ukweli wa nafasi tulizoomba kwa taasisi zote na mawizara. Maana kuna mdau namjua pale kila nikimuuliza ananiambia vuta subira mchakato unaendelea sasa na mimi namwambia kesho ijumaa hadi jumatatu naacha kila kitu nashinda ofisini kwao mpaka kieleweke.
Ndomyana a.k.a Kijana, Songa mbele kijana, maisha ndio hayo hayo....find other sources of employment, you need not to depend on UTUMISHI
All the best bro
Yumkini ndio sababu hata UTUMISHI wanamnyima kazi! Teh teh teh! Kaka,hebu pitia CV yako na barua yako vizuri!!
Yawezekana hata mpango wa CV yako pia
kumbuka hayo maneno mnayo ongea na dharau zenu kuna watu wanawazunguka leo kwangu kesho kwa hao ndugu zenu
Mkuu mbona mi naona kama amekushauri tu? Unajua vitu vidogo vidogo vinadharaulika mwisho wa siku unajikuta huitwi!
Vipi mkuu, ulipataga kazi utumishi tena? Au uliamua kujiajiri?hapana kaka hawa jamaa wenye viofisi iku izi wanazaeau sana graaduet wanaona kama wamemaliza kila siku tunavozunguka na CV zetu maofisini mwao, kumbe siku1 wadogo zao watatukuta ofisini