KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,514 Reaction score 88,999 Jul 30, 2023 #1 Sa huyu mwamba alikuwa anaimbaje...π π Na alivuma dah! Mi nafikiri aina yake ya uimbaji haikuwa bongo flavor hii ilitakiwa ipewe jina lake jengine!.. by the way napenda muziki wanyumbani haswa zile za zamani.. Tulipo
Sa huyu mwamba alikuwa anaimbaje...π π Na alivuma dah! Mi nafikiri aina yake ya uimbaji haikuwa bongo flavor hii ilitakiwa ipewe jina lake jengine!.. by the way napenda muziki wanyumbani haswa zile za zamani.. Tulipo
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,653 Jul 30, 2023 #2 Mr Nice alikuwa anafanya Tekeu... Diamond unamuona mjanja wakati hiyo ni Copy ya Nigeria? Bora Mr Nice katoa kitu original
Mr Nice alikuwa anafanya Tekeu... Diamond unamuona mjanja wakati hiyo ni Copy ya Nigeria? Bora Mr Nice katoa kitu original
Dividend JF-Expert Member Joined Jan 15, 2017 Posts 2,133 Reaction score 3,401 Jul 30, 2023 #3 Wala sioni kama kuna tatizo, kila zama na kitabu chake
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,514 Reaction score 88,999 Jul 30, 2023 Thread starter #4 The Boss said: Mr Nice alikuwa anafanya Tekeu... Diamond unamuona mjanja wakati hiyo ni Copy ya Nigeria? Bora Mr Nice katoa kitu original Click to expand... It's not about copy it's about tuko wapi Sasa..
The Boss said: Mr Nice alikuwa anafanya Tekeu... Diamond unamuona mjanja wakati hiyo ni Copy ya Nigeria? Bora Mr Nice katoa kitu original Click to expand... It's not about copy it's about tuko wapi Sasa..
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 45,278 Reaction score 37,060 Jul 30, 2023 #5 The Boss said: Mr Nice alikuwa anafanya Tekeu... Diamond unamuona mjanja wakati hiyo ni Copy ya Nigeria? Bora Mr Nice katoa kitu original Click to expand... TAKEU style -Tanzania, Kenya, Uganda.
The Boss said: Mr Nice alikuwa anafanya Tekeu... Diamond unamuona mjanja wakati hiyo ni Copy ya Nigeria? Bora Mr Nice katoa kitu original Click to expand... TAKEU style -Tanzania, Kenya, Uganda.