hawa wakikuteka utafurahi bila shaka! lol..
hahahaaa! mkuu hawa watakuwa kama maua ndani ya usalama wa taifa (TISS). tutawatumia kama source ya info kutoka kwa adui zetu ama sehemu yoyote ya kupatia habari...Duu Excel una mambo...!!! Vinaweza hata kuua mbu hivi kweli? Hii so fani yao asilani
Mbona wamesharud chuoni hawa JKT
"samahani afande, hii faini naweza kukutumia kwa m-pesa"??
Unapata namba kiulaini hapo....