Asante kwa Mara ya kwanza kwa miaka mingi Leo ndio nasikia kwako Kuna mji Rwanda unaitwa Gisenyi .Mimi nilikuwa najua Rwanda nzima Ina mji mmoja tu ambao ni Kigali.Asante walau hata kutuambia kuwa uko mji mwingine unaitwa Gisenyi.Nadhani picha zijazo utatuonyesha mavitu makubwa ambayo yanatanyika Gisenyi Kama hayo yanayofanyika Kigali kila kunapokuchaHio ni miji ya: Gisenyi (West) karibu na DRC, Musanze (North) karibu na Uganda, na Butare (South) karibu na Burundi. Una swali lingine? View attachment 1179897View attachment 1179899View attachment 1179904View attachment 1179905View attachment 1179906
We dgo nmekutafta
Sana nkucheke kipigo cha chelsea
Haya bwana Diplomat. Sisi wanyonge wacha tuendelee kuumizwa.Huh! unajua sisi tunao tumia Diplomatic passport tulishasahau Sana, ilishapanda hadi ngapi? 20 au?
ZIPO ZA TEMPORARY INAANDIKWA KWENYE KARATASI TU ILA NAFIKIRI NI 20,000/=Hakuna passport ya hela hio ndugu.
Hio haiitwi passport ndugu.ZIPO ZA TEMPORARY INAANDIKWA KWENYE KARATASI TU ILA NAFIKIRI NI 20,000/=
Emergency Travel DocumentHio haiitwi passport ndugu.
YES, that's kind of an emergency travel document but not a Passport.Emergency Travel Document
Emergency travel documents may be issued to a citizen of the United Republic of Tanzania who is travelling on an emergency journey. It may also be issued to a citizen of the United Republic who is stranded abroad and cannot get a passport.
Tupia na za gitarama mkuuHio ni miji ya: Gisenyi (West) karibu na DRC, Musanze (North) karibu na Uganda, na Butare (South) karibu na Burundi. Una swali lingine? View attachment 1179897View attachment 1179899View attachment 1179904View attachment 1179905View attachment 1179906
akikujibu nitag
ZIPO ZA TEMPORARY INAANDIKWA KWENYE KARATASI TU ILA NAFIKIRI NI 20,000/=
Kesho ndio ishakua jana,unasemaje kuhusu Liverpool?Hahahahaa kesho tunamulalua Liverpool tena ngoja nikaanzishe uzi