YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,911
- 51,889
Asante kwa Mara ya kwanza kwa miaka mingi Leo ndio nasikia kwako Kuna mji Rwanda unaitwa Gisenyi .Mimi nilikuwa najua Rwanda nzima Ina mji mmoja tu ambao ni Kigali.Asante walau hata kutuambia kuwa uko mji mwingine unaitwa Gisenyi.Nadhani picha zijazo utatuonyesha mavitu makubwa ambayo yanatanyika Gisenyi Kama hayo yanayofanyika Kigali kila kunapokuchaHio ni miji ya: Gisenyi (West) karibu na DRC, Musanze (North) karibu na Uganda, na Butare (South) karibu na Burundi. Una swali lingine? View attachment 1179897View attachment 1179899View attachment 1179904View attachment 1179905View attachment 1179906