Sio muda naanza kufufua makaburi

Anataka kusingizia elimu ya Afrika kwa upuuzi na ujinga wake? Hawa ndo wale badala ya kusoma walikuwa wanawaunguza wenzao na mbegu za ubuyu darasani.
Dah! Umenikumbusha mbali mtu anasugua mbegu anakuchoma 😂🤣na wezi wa vifutio na kichongeo pencil ✏️ 😂🤣
 
Mkuu umetupiga handcap:
Kwanza story ni ya uongo.
Pili huwezi kuandika, b4 nilijua tatizo la L na R lipo kwenye matamshi pekee, nimeshangaa kuona mpaka kwenye maandishi umefeli. Rudi darasani aisee.
Ndugu wengi sana kwenye kuandika mtihani kama Facebook ndo unapata hasira hasira mtu anaandika hasila,siri anaandika sili dhidi ya anandika zidi ya asubuhi anaandika asubui 😂 habari anaandika habali hujakutana na wale wa xxxxxx xaxa axante uwii natamani nimpasue.
 
Hapa bwana EricMan angesema "nimechoka mimi, sioni cha kuandika ata" [emoji1787]
 
Mi nimeekome kwenye rafidhi ya kikenya, kwani vipi kiliendelea nini
 
Huu uzi ukiusoma kama upo pahali penye hewa duni lazima ufe
 
Naomba samaree msukuma!!😊
 
mwenye summary?
Alikuwa anasoma kenya akawa na uhusiano na mwalimu wake madam Grace 😁ila kuna siku akamsaidia msichana pesa ilipungua wakati wa kununua mahitajiakiwa anaenda kwa Madam Grace.kafika baada ya muda kaingia msichana akashangaa ndo yule msichana alomsaidia pesa ilipungua wakapigwa na butwaa wote wakaulizana jamaa akasema kaja kwa mwalimu na yule dem kwa jina la Glory alikuwa mdogo wa madam Grace mvua ikaanza kunyesha wakajikuta wanakula tunda kimasikhara kama Riki Boy 😂Madam akawafuma ikawa tafrani akatoroka ila ndo wamekutana Tz na Dem anataka tena zabibu amekumbuka utamu ila yeye kumpa haramu sababu bado anampenda Madam Grace ndo anataka afufue kaburi la Madam Grace 😁
 
Huu ndio mwandiko
Huu ndio mwandiko wa mtu aliyesoma Kenya na Uganda. What an exposure🤣🤣🙌
 
Hata summary bado ni mtihani aisee 😁😁😁
 


"ilikuwa ikipiga kwafujo kuashilia nitoe gali kwani foleni ilishaanza kusogea' yule dada hakukubali kabisa niondoke pasipo kumtambua kwani alifungua mlango"

Haya kafukue... Dereva fuso.
 
Jamaa amewakamata wa kuwakamata alafu hata hajishtukii kwa mwandiko wake na stori yake🤣🤣🤣
Haya endelea kufukua makaburi maana hata ilo la kwanza robo tu bado haujafika😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…