kinachosumbua si manager bali ni vitendea kazi mkuu.. baadhi ya mashine zimesimama kisa kukosekana kwa vitendea kazi... ndo maana unaona kuna tatizo... wa kulaumiwa ni serikali na si wafanyakazi... imagine Mwanza huwa wanatumia 52MW ila Sasa hv zinakuja 30MW tena wanagawana na Musoma ambao wanatumia 16MW...
Hebu ni summarise point zako kwa sentensi moja; "Tanesco are not business oriented".
Sasa hivi watu wengi wanaweka dual system, unakuwa na solor na tanesco, hawa M-pawa wanakuwekea umeme kwa laki tatu, unapewa na tv 21" ya solor halafu bill yao iko chini kuliko tanesco. baada ya miaka miwili haulipi tena solor inakuwa ya kwako.
Lakini haya yote msingi wake ni mkataba mbovu wa Richmond uliowekwa na Lowasa, Chadema kumtengenezea fitina prof.Muhongo, kisa tu mtu anayewafanya wananchi wawaone kanyimwa kitalu cha gesi. Uzuri waliropoka pale bahari beach tukawajua walivyo.
kinachosumbua si manager bali ni vitendea kazi mkuu.. baadhi ya mashine zimesimama kisa kukosekana kwa vitendea kazi... ndo maana unaona kuna tatizo... wa kulaumiwa ni serikali na si wafanyakazi... imagine Mwanza huwa wanatumia 52MW ila Sasa hv zinakuja 30MW tena wanagawana na Musoma ambao wanatumia 16MW...
KIPUNGUNI..MOMBASA...KWA DIWANI...SIKU YA 4 LEO HAKUNA UMEME...MAENEO YA MKOLEMBA NA BOMBA MBILI...SONGOSONGO YOTE NI BALAAA.aibuuuuuuu:embarrassed1:Habari zenu,
Kuna hili jambo la mgao unao litafuna hili Taifa kwa kasi ya ajabu.
Saloon zimefungwa, ndoa zinavujika, watu wanapishana na michepuko yao, Juice za moto, Soda vile vile, Viwanda havizalishi, vibaka ndio usiseme, wabakaji balaa, Stationery na Internet Cafe ni kifo cha mende!
Walio baki na umeme ni bodaboda na magari tu barabarani! Nani akulipe kodi? Thubutuuu! Hayo mateke na Mangumi ya uso!
Majuzi nilikuwa Jijini Mwanza nikaona kampuni ya M-Power (si vodacom) inazalisha umeme wa jua kuichalenge TANESCO, tayari imekuwa kipenzi cha Mama Ntilie, nyumba zilizo mbali na TANESCO, na wafanya biashara wa maduka madogo madogo. TANESCO wao hawaoni kama huyu ni Direct Competitor!
Nyumba kuunganishwa umeme inachukua miezi 8! Rushwa juu! Wakati walipaswa kufanya booking wao.
Ukusanyaji wa mapato unashuka hata Billioni 100 kwa kukata umeme dk 5 tu(assuming). Kwa sasa TANESCO wanakata umeme nchi nzima Takriban masaa18 hadi 48!! Najiuliza hivi kwa nn JK unatuviringisha kama wadudu au ndio Uchumi ulio soma the So called UDSM!
Wadau hivi kweli kuna haja ya Manager wa TANESCO WILAYA, NA MKOA KUWA ELECTRICAL ENGINEER and not Business Manager (e.g. MBA graduate) majoring in Marketing?
Mapendekezo!
1. MKURUGENZI WA TANESCO ilipwe mshahara kutokana na Monthly Performance na wafanyakazi wote wa shirika hili wasiwe na Permanent Salary!
2. Waanze kutoa Booking za kuunganisha umeme kwenye majumba kuzuia wizi na ajali za moto zitokanazo na kujiunganishia umeme kiholela!
3. Hili shirika libadilishe mfumo from a Gvt Parastatal to a Business Enterprise!
4. Hujuma dhidi ya UKAWA zikomeshwe ni kukosesha Taifa mapato. Na hivyo kuhujumu Hospitali kwa kukosa dawa, Kilimo na huduma za maji wa wanachi!
KIPUNGUNI..MOMBASA...KWA DIWANI...SIKU YA 4 LEO HAKUNA UMEME...MAENEO YA MKOLEMBA NA BOMBA MBILI...SONGOSONGO YOTE NI BALAAA.aibuuuuuuu:embarrassed1:
Kichwa Ndio Mtu mm nilidhani mgao mkali ulikuwa enzi za Ngeleja tu! Kumbe hata Dalali Simba Chawenyewe!
Ngoja uone Prof. JK apishe geti la Ikulu uone uozo alivyo piga vijisenti zitakavyo vuja!
Ww M.atako yakobe jiheshimu. Elimu nilio nayo nadhani mnashea na baba yako.
Ungekuwa na elimu ungetukana hapa? Typical kilaza
Hata Dr. Masaburi ana Elimu. Na nasistiza tena kuwa Elimu yangu nina huhakika mnashea na baba yako na inawatosha vzr tu! Cha Mhimu kama huna cha kuchangia pita kimya kimya tu. Si kejeli.