Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Hahahahaaaa kwa hii hata mimi naiunga mkono kuwa SIO KWELISio kweli kila anaeku'PM anakutaka!
Hahahahaaaa kwa hii hata mimi naiunga mkono kuwa SIO KWELI
Hahahahaa aise*MwafrikaHalisi kweli hapo Kujamiiana kupitia JamiiForums...teh hivi ni kweli hili neno lina maana mbili eeehWengine wanataka kujamiiana tu! Yaani ku'socialize
Sio kweli kila aliyesoma ameelimika.
Sio kweli kila anaekuchekea anakupenda.
Sio kweli kila kinachosemwa kinamaanishwa!
Hahahahaa aise*MwafrikaHalisi kweli hapo Kujamiiana kupitia JamiiForums...teh hivi ni kweli hili neno lina maana mbili eeeh
Machalii wote wajanja aisee...we niaje man!Sio kila chalii ni mjanja!
Ila kwa maana tuliyoizoea Kujamiiana ni kupeana tam tam....kumbe hata socialization nayo ni kujamiiana.......wazo jipyaEeh watu hawachelewi kumaanisha vinginevyo mkuu!
Sio kweli kila anaeku'PM anakutaka!
Sio kila chalii ni mjanja!