Sio kweli, just asking...

Simply man hao wanao kusema wana lao jambo. Your life style haiwahusu.
People talks and the will talk till the day you die.
For the contrary tell the to fuk off.

Au wapotezee tu. Baada ya muda fulan wataacha wenyewe.
 
Mwanaume huwezi kumridhisha kila mtu...sometimes hard decision zinatakiwa kwenye mazingira kama hayo....

Unaangalia wewe unataka nini halafu unafanya unachokitaka na sio watu wanachokitaka au watu watakuonaje ukifanya kitu flani
 
Matatizo mengine baana!! Hao unaowasikiliza wanakulisha? wanakuvisha? wanakulaza? wanakusaidia chochote kile kwenye hustling za maisha yako? Ishi maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…