Sio kwako tu!!!

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,598
(((((( ))))))
(((( @) (@ ))))
(((; <._.> πŸ˜‰))
( --- ) Unamkunjia Uso nani ?! Km Maisha magumu ni kwa wote na sio pekeyako we vipi.?. Kununa ni hatari kwa afya yakoo!"!!
 
(((((( ))))))
(((( @) (@ ))))
(((; <._.> πŸ˜‰))
( --- ) Unamkunjia Uso nani ?! Km Maisha magumu ni kwa wote na sio pekeyako we vipi.?. Kununa ni hatari kwa afya yakoo!"!!

hahahaaa mbavu zang mie nimeupenda huo mnuno chezea maisha weye?
 
Ni kweli kununa ni hatari kwa afya yako na haisaidii kutatua shida zako bali hukuongezea shida zaidi tu
Rizika na ulichonacho na maisha yanaendelea,hakuna ajuaye kesho ya mwenzie,muhimu ni kumuomba Muumba wetu atusaidie.
 
(((((( ))))))
(((( @) (@ ))))
(((; <._.> πŸ˜‰))
( --- ) Unamkunjia Uso nani ?! Km Maisha magumu ni kwa wote na sio pekeyako we vipi.?. Kununa ni hatari kwa afya yakoo!"!!
Very interesting and ingenious keyboard art!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…