Sio kwa ajili ya magari tu

ok, yanaitwaje haya majiko? na huwa yanauzwa ama ndio yako sokoni?
 
Lakini si rafiki kwa mazingira,na pia hayabani bajeti maana yanatumia mkaa mwingi sana na hata kuni.
 
Tatizo halifai kutumia nyumbani, hata ingekuwa limu ya bajaji kwa jiko la matumizi ya nyumbani bado ni kubwa mno
 
Hayalipi kwasababu ubunifu ni kama hakuna na sababu kubwa siyo rafiki kwa mazingira...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…