View attachment 226359
Tunampenda sana Rais wetu wa tano mtukufu wassira na ndio maana akikosea kufunga vifungo watu tunamind sasa kumbe hadi ka kifungo cha shati nacho..duh sijui kamekatika, itabidi sheria ngowi adizaini vifungo vikali, au sio?
Dada buji mambo.Hivi Wasira ni mwanamitindo wau ni mwanasiasa??
Hebu tumuacheni babu wa watu apumzike, maana wengi wetu tunafuata mkumbo tu kushabikia na kumsema baba mwenye watoto watu wazima, hebu fikiri angelikuwa ni baba yako mzazi anasakamwa kila uchao kwenye vyombo vya habari.
Vita ya kugombea urais ndio imesababisha yote haya.
Tuwaache wenye vita yao waendelee kulumbana, sisi tusio na maslah na hizo mbio za utrais ndani CCM tukae KIMYAAAAAAAAAAAAA
Dada buji mambo.
swissme