HAWA(Wengi)............HUYU(Mmoja).....MSHANA ANAAMINI MUNGU ALIHALALISHA POLYGAMYMungu aliumba HAWA hakuumba HUYU! kwahiyo ni uonevu mabavu na ubabe usio na msingi kumtaka mwanaume awe na mwanamke mmoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
kwani unahisi hawezi kuwa na mawazo hayo?[emoji33][emoji33][emoji33]
Sijui nani amehack account ya mshana jr na kupost i kitu apo!
Ni mimi nimehack mkuu![emoji33][emoji33][emoji33]
Sijui nani amehack account ya mshana jr na kupost i kitu apo!
joanah na wenzako wengi wote ni Mali yangu.[emoji33][emoji33][emoji33]
Sijui nani amehack account ya mshana jr na kupost i kitu apo!
Ha ha ha mtani unahalalisha uzinzi
hahaaaa....as usual kujistfy hulka ya michepuko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji33][emoji33][emoji33]
Sijui nani amehack account ya mshana jr na kupost i kitu apo!
Nahisi hawezikwani unahisi hawezi kuwa na mawazo hayo?
KabisaaaNi mimi nimehack mkuu!
Mungu aliumba HAWA hakuumba HUYU! kwahiyo ni uonevu mabavu na ubabe usio na msingi kumtaka mwanaume awe na mwanamke mmoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kasie weeHata mimi nakubaliana na wewe. Mie mwenyewe kugandwa gandwa na suruali moja kila leo siwezi.
Shurti kuachiana nafasi ya kupumua na kuishi kwa afya sio kufatana fatana ma.ta. ko.ni kama mkia akuu.
Kwa raha zako na Kasie kwa starehe zake (huu ni mtindo wangu wa kuishi si wanawake wote)