sio jokes,

sio jokes,

mbatia mnzava

Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
27
Reaction score
3
habar za mchana wadau?
Naomba anayejua nyimbo nzur za taratibu anipe majina hizo nyimbo na walio ziimba!
Thankx, have a nice day!
 
tumia betrii zenye charge chache,hapo kila nyimbo itakua ya taratibu
 
Hahahah hahha mbavu zangu mwenzio yuko serious unajua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Duh! Yaani hata mimi niliposoma mara ya kwanza nilielewa "za taarabu", niliporudia mara ya pili ndo nikajicheka mwenyewe
 
Ha ha ha ha ha haaaaaaaah! Kumbe ni za taratibu mi nilijua ni za taarabu
 
Mazoea yana tabu..nikiisia napata usingizi mzito...pia huwa naicheza slow
 
Nakumbuka moja hii hapa "Hata kama ana pembe tutazikata hee hee..." mtunzi celine dion lakin iliimbwa na dr.alhaj mrisho.
 
Nakumbuka moja hii hapa "Hata kama ana pembe tutazikata hee hee..." mtunzi celine dion lakin iliimbwa na dr.alhaj mrisho.

mkata pembe atakua ni mtaalamu wa chama na sirikali mh bwana katibu mkuu ki na na
 
Kuwa specific na unachoomba kwani uzuri wa wimbo uko kwa msikilizaji. Unataka kwaya au Kaswidah? Unataka za mapambio au maombolezo? Taarab au Bongo flava?
 
tumia betrii zenye charge chache,hapo kila nyimbo itakua ya taratibu

Mkuu, hebu kuwa na huruma basi. Usimkatishe tamaa kiasi hicho kwani inawezekana yuko serious na ombi lake. Pamoja na hayo, asante kwa kunifanya nicheke manake sikutegemea kabisa jibu kama hilo. Ha ha ha ha ha!!!!!!
 
Back
Top Bottom