Sio haki, kikatiba kwa Dk Shein

Sio haki, kikatiba kwa Dk Shein

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,094
Inasikitisha sana jinsi serekali hii inavyozivunja taratibu zake yenyewe!


-->>Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni, Tanganyika + Zanzibar,


-->>Tumeshuhudia jinsi rais wa JMT alivyoapishwa bila ya upatikanaji wa rais wa Zanzibar,


-->>Ikumbukwe Zanzibar si mkoa ni nchi,


-->>Kwa mantiki nzima rais wetu mpaka muda huu ni rais wa Tanganyika,

N.b
****
Wazanzibar kazi mnayo!
 
sio wazanzibar bali watanzania kwa ujumla,
cha ajabu wakiwa na matatizo tunaangalia pembeni,wakitaka kujikwamua tunawapelekea MAJESHI!
 
Matapeli wa kisiasa Kikwete na Kinana wameharibu nchi huku wakipewa baaraka na akina Mkapa Butiku warioba Sitta wazee wasi haya wameamu kuvunja atiba ili kulinda maslahi yao
 
mzee Butiku ameshatoa kauli ingawa haikupewa uzito,akiwataka zec watangaze matokeo.
 
Inasikitisha sana jinsi serekali hii inavyozivunja taratibu zake yenyewe!


-->>Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni, Tanganyika + Zanzibar,


-->>Tumeshuhudia jinsi rais wa JMT alivyoapishwa bila ya upatikanaji wa rais wa Zanzibar,


-->>Ikumbukwe Zanzibar si mkoa ni nchi,


-->>Kwa mantiki nzima rais wetu mpaka muda huu ni rais wa Tanganyika,

N.b
****
Wazanzibar kazi mnayo!
Kama mzanzibari kindakindaki sina la kusema, hya yote ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. JF moderators wanashiriki kuwabana wazanzibari kukitanabahisha kilichowasibu, lakini JF kwa ukereketwa wao wanajitambua ni sehemu ya mfumo unaotawala Zanzibar kwa mabavu na vifaru. Ninaamini kuwa amri ya kufuta uchaguzi imetoka bara sawa na vifaru. Jecha asilaumiwe, yeyote naejali usalama wake angetii amri hiyo, tusitegemee alitoa amri kufutwa kwa uchaguzi atakuwa hakimu mzuri wa kutatua 'mgogoro" wa Zanzibar.TUENDELEE TU KUWA WATWANA WA TANGANYIKA
 
Jecha hana uwezo wa kufuta uchaguzi" Uchaguzi umefutwa na Kikwete ambae ndie alikua Amiri Jeshi. Jeshi linapokea amri na ndilo lililomlazimisha Jecha kufuta uchaguzi.
 
sasa mwisho wa hizi dhuluma ni nini?nani atatusaidia dhidi ya hawa wenye nchi,maana sitashangaa shein akatangazwa rais na maisha yakaendelea kama ilivyofanyika bara.
 
Tatizo tanzania atuja endelea kabisa kwa sababu CCM inatumia mabavu alafu watu kimya kama waenga wanavyo sema UKIKUBALI KUOLEWA LAZIMA ULALE UCHI ndo sisg TANZANIA NA ZANZ
 
Back
Top Bottom