New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,450 Reaction score 2,683 Nov 16, 2012 #1 unakuta mtu (jamaa ako mnafaamiana) katoka zake kwenye mitkasi yake kachoka anafika ofisin kwako (saloon)anafanya ndo pakupumzikia yaan full usingiz mchana mchana..
unakuta mtu (jamaa ako mnafaamiana) katoka zake kwenye mitkasi yake kachoka anafika ofisin kwako (saloon)anafanya ndo pakupumzikia yaan full usingiz mchana mchana..
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,534 Reaction score 146,114 Nov 16, 2012 #2 Kwa nini usimtimue aende akapumuzikie kwake?
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Nov 16, 2012 #3 Kwa nini usimwambie kuwa hutaki hiyo tabia?