mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
MUNGU MWENYEZI aliumba wote tuwe na uchungu
Kwa nn sasa mliua tumbili na nyie!?Kuna siku tuliuwa mtoto wa tumbili tukamning'iniza kwenye mti aisee mama yake alipiga kelele kwa muda mrefu ameshindwa kumfungua anakaa pembeni anaanza kupiga kelel
Hata mimi nimewaza hivyo.Duh ukisogea karibu anaweza kukumaliza
Nimetazama hii picha kwa umakini...tumbili mtoto anaoneka bado yu hai.
Mimi pia nimeona hivo kiasi imenipunguzia uchungu. Ndio maana tumbili mdgo kamshika mama yake shingo laiti angekua kafa asingemshika mama yake! Ila tatizo inaonekana tumbili mdgo kapigwa sana hasa maeneo ya makalio kuelekea miguuniNimetazama hii picha kwa umakini...tumbili mtoto anaoneka bado yu hai.
Ila kwa jinsi alivyochafuka ni dhahiri kapigwa,mamie ndio kapata uchungu.
Muache kutegemee lishe yenu kwa kuuwa viumbe wengineKwa sisi wafugaji huwez chinja mnyama mbele ya wenzake ni ukatili mkubwa na utaona vilio vyao hubadlika hasa watakapogundua damu ni ya mwenzao