Sinza: Kahaba anatumia misukule kujiuza

Wanaume wa dar mtapiga sana fisi, mbwa, punda, mbuzi n.k utajisikiaje pale unapogundua yule mrax unayepiga sio yeye kiuhalisia bali ni fisi na nyumbani umeacha mke mzuri tu.
 
Machalii wa kuruka na MiRAKSi ya corner bar na ambiance ni msala wazee. Mnaruka na mafisi niaje?

Nashukuru mungu sijapataga dhiki ya maku kiasi cha kwenda kutafuta mrakx. Nitapiga hata nyex babaangu ila sio nikanunue manzi road, ni usoro!!!
 
Dogo huyo ni mke wangu na mtotoetu wa tatu nkonae hapa ,mke wangu hajiuzi ni wivu tu,wivu tu
 
wewemd
Mmh! inaonekana ni Mdau wa hiyo huduma inayotolewa hapo?
Umejuwaje hayo yote kuhusu huyo binti kama hukufika pale?
Usiniambie kuwa umesimuliwa!
 
Aisee! Dunia ina mambo mengi sana!

Chukua picha ya aliyechukuliwa kwenda kutumikishwa atakavyozeeka angali binti!

Kuna watu wengi sana wanaotumikishwa miili yao bila kujijua au bila ridhaa zao. Wamebebeshwa sura zisizo zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasukuma tena??
Kitochi Original
 
Ameshakutambuwa hivyo kaa tayari leo usiku atakuibukia na wewe utaona umepata kume umepatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…