Sinza: Kahaba anatumia misukule kujiuza

Story za kusadikika, haina tofauti na mashambulizi ya kibiti
 
MWANANYAMALA WANAWAFANYISHAGA KWENYE FISI!
mi nimesikia tu!

ILA NA NYIE WANAUME MMEZIDI!
acha mfanyishwe mpk kwneye mizoga!
Tatizo njaa nyie ratiba zenu ngumu
 
Mhhh....Mademu wote hawa bado unaangaika na chips funga!! Ushalala nao sana, hiyo misukule ndio inatumika kuleta mvuto ....we ukienda unabeba tu kumbe ni msukule.... Demu mwenye sijui ndio huyu embu bofya hapa http://bit.ly/2uaQ4I6 umsaminishe!
 
Namtaka huyo dada misukule hawana ukimwi
 
Una ushahidi wa kutosha kuhukumu maisha ya mtu kwa mambo hayo
 
Shetani mwenyewe hakuwafundisha hivi hakika watu wanajiongeza
 
MWANANYAMALA WANAWAFANYISHAGA KWENYE FISI!
mi nimesikia tu!

ILA NA NYIE WANAUME MMEZIDI!
acha mfanyishwe mpk kwneye mizoga!
Ili swala nilishaga wahi kuliwaza katika tafakuri tu za kawaida kwamba je wale wadada anawezaje kumudu hadi watu kumi kwa siku kila siku, na pia kama wanaojua ushirikina wamo mulemule hawatafanya utaalamu mwingine kweli,
Kwahiyo mbali na kutumia misukule kuna kuporwa nyota pia ama kubebeshwa mzigo(mkosi) wa changudoa akakupa wewe maana ngono ni mlango na mlangoni kinapitishwa chochote inategemea tu aliyekuja kaleta nn,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…