Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
hahahahahaha............ haujambo mdogo wangu, nilijua tu utakuja hapaaiseeee nenda kwa wambagala tu
hahahahahaha............ haujambo mdogo wangu, nilijua tu utakuja hapa
nyie wa tandale huwa nawapenda sana maana huwa mnajua sana kukata kiunonimepita bahati mbaya .. hayanihusu mimi wa tandale
Mmmmmh kwa hiyo wewe unaelewa mademu wa Mbagala? Ukiona mwanamke anakaa Sinza jua akili inachaji sana maana chumba cha sinza si chini ya laki moja, kwa hiyo inatakiwa umchunguze ujue kama anafanya kazi halali na ukigundua anafanya kazi halali basi huyo ndiyo wa kumweka ndani maana hutapata stress za kumwelekeza mambo ya kimaendeleo muda mrefu maana si akili zake zinachaji.
Sasa wewe ukiona wadada wanaokaa Masaki na Oystrebay si ndo inatimua mbio kabisa ukifikiri kuwa ni maji marefu kwako
umekuja mjini leo kwahiyo hujaelewa content ya thread, jipangeMmmmmh kwa hiyo wewe unaelewa mademu wa Mbagala? Ukiona mwanamke anakaa Sinza jua akili inachaji sana maana chumba cha sinza si chini ya laki moja, kwa hiyo inatakiwa umchunguze ujue kama anafanya kazi halali na ukigundua anafanya kazi halali basi huyo ndiyo wa kumweka ndani maana hutapata stress za kumwelekeza mambo ya kimaendeleo muda mrefu maana si akili zake zinachaji.
Sasa wewe ukiona wadada wanaokaa Masaki na Oystrebay si ndo inatimua mbio kabisa ukifikiri kuwa ni maji marefu kwako
nyie wa tandale huwa nawapenda sana maana huwa mnajua sana kukata kiuno
nakuja najua utakuwa umevaa madela tu maana wanawake wa tandale ndio nguo zenu hizonjooo huku sasa
usiku huwa anakuwa wapi? hahahahaNinae anaishi sinza kijiweni, hana kazi lakini anaishi na nikijaribu kumchunguza sipati ukweli wake.
nakuja najua utakuwa umevaa madela tu maana wanawake wa tandale ndio nguo zenu hizo
ni kweli kabisaTusidanganyane hapa... kautafiti kaku kadogo kamegundua kuwa wengi wa wanaojiuza ambiance wanakaa maeneo ya tofauti na sinza hasa manzese,tiptop,magomeni,tandale e.t.c... sio kila wa sinza unaemwona ukadhani mala.ya. inawezekana hao wachache wa saizi yako ulokutana nao ndo madada poa,tena wanakaa kwa ndugu au wamedandia kwa marafiki