Sintoisahau Mbeya na wasafwa

Wasafwa wana hasira sana...

Miaka ya zamani hivi kabla Wasafwa hawajasogea pembezoni mwa mji, ilikuwa ukizinguana na Msafwa haswa kwenye ishu za ardhi...walikuwa wanaitana kundi kubwa na wao shughuli ilikuwa ni moja tu, kupiga hadi kuua...
Aisee naamini
 
Usalipwo minokae mwasapalupende spoony
 
Mbeya wasafwa wanyiha wanyakyusa naona Kama wamekaa kibabe saana
 
Wadada wa Mbeya ubabe mwingi......binafsi ingawa ni mnyakyusa ....lkn siwazi kuoa madem wa Mbeya[emoji23][emoji23]
Nilikua nae mmoja huyo binti wa Mbeya ni mdogo sana ki umri 18's "mndali" wa Ileje aisee alikua mbabe na jeuri hatari, nikaona isiwe kesi sana nisije kupata balaa zaidi..
 
Umechekesha ulivyompa ndoo mpaka akatoa kisusio.
Inakuaje mtoto wa kike unapiga kama mwanaume mwenzio bob. Au somo la u gentleman limepita pembeni?!
Kuna muda inafika point kama binadam unashindwa kustahimili..
 
Umechekesha ulivyompa ndoo mpaka akatoa kisusio.
Inakuaje mtoto wa kike unapiga kama mwanaume mwenzio bob. Au somo la u gentleman limepita pembeni?!
Atakuwa alimuona kuwa ni mwanamke mwenye maguvu yake kwa hiyo akampa dozi kulingana na vile mwanamke alivyoonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…